#duniani

IMF: 2023 utakuwa mwaka mgumu kwa uchumi wa dunia

IMF: 2023 utakuwa mwaka mgumu kwa uchumi wa dunia

Mkuu wa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa IMF ametangaza kuwa thuluthi moja ya uchumi wa dunia itakabiliwa na mdororo wa kiuchumi mwaka 2023. Mfuko wa Fedha wa Kimataifa ulitangaza Oktoba 2022 kwamba ukuaji wa uchumi wa dunia utapungua katika mwaka 2023. Vita nchini Ukraine, mashinikizo ya mfumuko wa bei na viwango vya juu vya riba vilivyopangwa na…

UN: Idadi ya watu duniani yafika bilioni 8

UN: Idadi ya watu duniani yafika bilioni 8

Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa jamii ya watu duniani leo Jumanne Novemba 15 imefikia watu bilioni 8. Kwa mujibu wa makadirio ya umoja huo, hii imetajwa kuwa hatua muhimu katika maendeleo ya mwanadamu kabla ya viwango vya kuzaana kuanza kupungua. Katika taarifa yake, Umoja wa Mataifa umesema kuwa, idadi hiyo inamaanisha watu bilioni 1 wameongezwa katika …