Watu kadhaa wameuawa, huku wengine wakijeruhiwa Jumanne, wakati majambazi waliposhambulia msafara wa walinzi, maafisa wa itifaki na vyombo vya habari, kabla ya safari ya Rais Muhammadu Buhari kufika katika mji alikozaliwa wa Daura, Jimbo la Katsina. Ofisi ya Rais wa Nigeria imetoa taarifa na kuitaja hujuma hiyo ya Jumanne kuwa ni ya kusikitisha. Katika taarifa…