#Ebola

WHO: Mripuko wa nne wa Ebola katika jimbo la Equateur, DRC umetokomezwa

WHO: Mripuko wa nne wa Ebola katika jimbo la Equateur, DRC umetokomezwa

Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa, mripuko wa Ebola uliotangazwa tarehe 23 mwezi Aprili mwaka huu huko Mbandaka, mji mkuu wa jimbo la Equateur katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umetokomezwa. Taarifa iliyotolewa na WHO katika miji ya Kinshasa, DRC na Brazzaville, Jamhuri ya Kongo, imesema mripuko huo ulikuwa ni wa 3 kwa jimbo la…