Hatua hiyo ni ishara kwamba mzozo wa umwagaji damu kati ya serikali na vikosi vya waasi wa Tigray unaweza kupungua. Uamuzi wa Bunge la Ethiopia utaanza kutekelezwa hivi karibuni. Ethiopia ilitangaza hali ya hatari mwezi Novemba mwaka jana baada ya vikosi vya wapiganaji wa Tigray kuvamia maeneo zaidi ya Ethiopia na kutishia mji mkuu wa nchi hiyo, Addis…