#Ewura

Bei ya mafuta yazidi kupaa

Bei ya mafuta yazidi kupaa

Dar es Salaam. Bei ya mafuta imepanda tena mwezi huu na kuivuka ile ya Mei, iliyokuwa kubwa zaidi katika historia ya Tanzania kiasi cha kuilazimu Serikali kutoa ruzuku. Mei, bei ya petroli ilifika Sh3,148 jijini Dar es Salaam ikipanda kwa Sh287 kutoka Aprili kwa kila lita moja huku dizeli ikipanda kwa Sh566 kutoka Sh2,692 hadi Sh3,258…