Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kwamba sehemu kubwa ya mtandao wa intaneti imekuwa dampo la taka za sumu zinazoeneza chuki na uongo. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema katika taarifa yake kwamba mtandao wa intaneti una aina mbalimbali za chuki, ubaguzi wa rangi, chuki dhidi ya Uislamu, chuki dhidi ya…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa IRIB alitoa maoni kuhusu kuondolewa kwa ukurasa wa Facebook wa iFilm 2 kutoka kwenye mtandao wa kijamii. Ahmad Norouzi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa IRIB, alisema kwenye ukurasa wake wa kijamii: “Katika wakati ambao kwamba waasi wamefanya kila juhudi ili kuzusha mvutano kati ya Wairani na…