Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMS) imefikia makubaliano ya kuikabidhi benki ya NMB kutunza bustani ya Forodhani visiwani hapa ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kuunga mkono uhifadhi wa mazingira na ajenda ya uchumi wa bluu. Mradi huo wa utunzaji wa bustani ya Forodhani unalenga kuboresha mazingira ya kitalii na kuakisi vyema sifa maarufu ya eneo hilo, na utawezesha bustani…