#gabon

Waziri wa Mambo ya Nje wa Gabon afariki dunia ghafla kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri

Waziri wa Mambo ya Nje wa Gabon afariki dunia ghafla kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri

Waziri wa Mambo ya Nje wa Gabon, Michael Moussa Adamo, amefariki dunia ghafla kwa mshtuko wa moyo wakati wa kikao cha Baraza la Mawaziri. Taarifa rasmi ya serikali ya Gabon imethibitisha habari hiyo ya kufariki dunia Michael Moussa Adamo ambaye alikuwa mtu wa karibu na mshirika wa muda mrefu wa Rais Ali Bongo, hata kabla ya…

Gabon yateua kwa mara ya kwanza, mwanamke kuwa Makamu wa Kwanza Rais

Gabon yateua kwa mara ya kwanza, mwanamke kuwa Makamu wa Kwanza Rais

Rais Ali Bongo wa Gabon amemteua Waziri Mkuu wa nchi hiyo Rose Christiane Ossouka Raponda kushika wadhifa wa makamu wa rais ikiwa ni mara ya kwanza kwa mwanamke kushika wadhifa huo kama ambavyo ameteua pia Waziri Mkuu mpya kuchukua nafasi ya Raponda. Uteuzi huo ulioripotiwa jana, ulifanyika siku ya Jumatano ambapo Waziri Mkuu wa Gabon…