#ghaza

Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqsa katika muendelezo wa uchochezi

Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqsa katika muendelezo wa uchochezi

Makumi ya walowezi Waisraeli wamevamia eneo la Msikiti wa al-Aqsa huko Quds (Jerusalem) Mashariki inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel, katika hatua nyingine ya uchochezi dhidi ya waumini Waislamu wa Kipalestina. Walioshuhudia wanasema kwamba uvamizi wa walowezi hao  wenye itikadi kali ulifanyika chini ya ulinzi mkali kutoka kwa wanajeshi wa utawala ghasibu wa…

Januari 19; Siku ya Ghaza ni Kielelezo cha Mapambano ya Kiislamu

Januari 19; Siku ya Ghaza ni Kielelezo cha Mapambano ya Kiislamu

Januari 19 inatambuliwa katika kalenda ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni “Siku ya Ghaza” kwa mnasaba wa kumbukumbu ya vita vya siku 22 vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza (Gaza) huko Palestina Utawala ghasibu wa Kizayuni unaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu Disemba 27 mwaka 2008 ulianzisha vita dhidi ya…

Iran na Afrika Kusini zalaani jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Ghaza

Iran na Afrika Kusini zalaani jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Ghaza

Iran na Afrika Kusini zimelaani vikali jinai za kinyama zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Ukanda wa Ghaza huko Palestina. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Nasser Kana’ani amelaani jinai hizo na kuilaumu jamii ya kimataifa na mashirika yanayojigamba kutetea haki…