#hamas

Hamas: Kutiwa nguvuni wanamuqawama kunakofanywa na Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kuihudumia Israel

Hamas: Kutiwa nguvuni wanamuqawama kunakofanywa na Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kuihudumia Israel

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa radiamali kufuatia hatua ya idara za usalama za Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kuwatia nguvuni wanamuqawama na wanachama wa harakati hiyo katika Ukingo wa Magharibi na kusisitiza kuwa, kitendo hicho ni sawa na kuuhudumia utawala wa Kizayuni. Uratibu wa masuala ya usalama umeanzishwa kati ya…

HAMAS: Jinai za kila uchao za Israel hazitapita hivi hivi

HAMAS: Jinai za kila uchao za Israel hazitapita hivi hivi

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) sambamba na kusema kuwa imesikitishwa na kitendo cha kuuawa shahidi vijana wawili wa Kipalestina na utawala haramu wa Israel, imeonya kuwa, jinai za kila uchao za utawala huo wa Kizayuni hazitapita hivi hivi. Taarifa iliyotolewa jana Ijumaa na HAMAS imesema kuwa, utawala ghasibu wa Israel unabeba dhima…

Msemaji wa Hamas: Utawala wa Kizayuni unafuatiliwa usiku na mchana

Msemaji wa Hamas: Utawala wa Kizayuni unafuatiliwa usiku na mchana

Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa mapambano ya kulinda na kuutetea msikiti wa al Aqsa na mateka wa Kipalestina yatakuwa ya aina yake na kusisitiza kuwa utawala wa Kizayuni unawajibika kubeba dhima ya matokeo ya hatua za kichochezi za Ben Gvir. Abdullatif al Qanui Msemaji wa Hamas amesema akihutubia…

HAMAS yakosoa maazimio yasio na taathira yanayopitishwa na UN dhidi ya Israel

HAMAS yakosoa maazimio yasio na taathira yanayopitishwa na UN dhidi ya Israel

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeukosoa Umoja wa Mataifa kwa kupitisha maazimio kadhaa dhidi ya utawala wa Kizayuni bila ya kufikiria njia za kivitendo za kuwezesha utekelezaji wake. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga kura ya kuunga mkono mpango uliowasilishwa na Palestina, kuhusiana na kutolewa uamuzi wa kisheria na Mahakama ya Kimataifa…

Hamas: Maneva ya al Rakan al Shadid 3 ni dhihirisho la nguvu ya muqawama

Hamas: Maneva ya al Rakan al Shadid 3 ni dhihirisho la nguvu ya muqawama

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa maneva ya al Rakan al Shadid 3 yanayonesha nguvu ya muqawama. Hazim Qassim Msemaji wa Hamas ameeleza kuwa, maneva ya Al Rakan al Shadid 3 yaliyofanywa na chumba cha oparesheni za pamoja kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza yametilia mkazo umhimu wa hatua za pamoja za…

Hamas: Adui haelewi isipokuwa lugha ya mabavu; serikali ya Netanyahu ni dhihirisho la watenda jinai

Hamas: Adui haelewi isipokuwa lugha ya mabavu; serikali ya Netanyahu ni dhihirisho la watenda jinai

Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika mji wa Quds amesema kuwa, serikali mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel inayoongozwa na Benjamin Netanyahu inadhihirisha sura ya watenda jinai na kusisitiza kuwa: Adui haelewi isipokuwa lugha ya mabavu. Mohammed Hamada amesema msimamo wa Hamas mkabala wa utawala wa Kizayuni unaotenda jinai ni…

Kutimia miaka 35 ya kuasisiwa HAMAS; mapambano na muqawama sambamba na siasa

Kutimia miaka 35 ya kuasisiwa HAMAS; mapambano na muqawama sambamba na siasa

Miaka 35 imepita tangu ilipoasisiwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS. Harakati hiyo ya mapambano iliundwa katika Ukanda wa Gaza tarehe 14 Desemba 1987 na Sheikh Ahmad Yasin na viongozi kadhaa wa Ikhwanul-Muslimin. Hamas ni moja ya makundi ya Palestina, ambayo baada ya kuasisiwa kwake, limetoa mchango mkubwa katika matukio ya nchi hiyo…

Hamas: Wapalestina hawataiacha Israel itekeleze njama zake

Hamas: Wapalestina hawataiacha Israel itekeleze njama zake

Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema Wapalestina katu hawatouruhusu utawala haramu wa Israel utekeleza njama na mipango yake michafu dhidi ya mji mtakatifu wa Quds na Masjidul Aqsa. Ismail Haniya amesema hayo katika hotuba aliyoitoa jana Jumatatu kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 35 tangu ilipoasisiwa harakati…