#hamas

HAMAS yapongeza misimamo ya waziri wa ulinzi wa Pakistan dhidi ya Israel

HAMAS yapongeza misimamo ya waziri wa ulinzi wa Pakistan dhidi ya Israel

Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amepongeza msimamo thabiti ulioonyeshwa na waziri wa ulinzi wa Pakistan dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Waziri wa ulinzi wa Pakistan Khawaja Muhammad Asef ameieleza serikali ya Uingereza na waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo kuwa Azimio la Balfour la mwaka…

Tawi la kijeshi la HAMAS lawaonyesha askari wawili wa Israel linaowashikilia mateka

Tawi la kijeshi la HAMAS lawaonyesha askari wawili wa Israel linaowashikilia mateka

Brigedi za Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS zimetoa taswira, sambamba na kuwahutubu Wazayuni kwamba: viongozi wa utawala wa Kizayuni wanakuambieni uongo kuhusu mateka. Julai 2014, Brigedi za Izzuddinl-Qassam zilitangaza kuwa zimemkamata mateka Shaul Aron askari wa Kizayuni katika vita vya siku 51; na utawala wa Kizayuni ukatangaza…

Fawzi Barhoum: Shambulio dhidi ya Gaza ni kilele cha uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Wazayuni

Fawzi Barhoum: Shambulio dhidi ya Gaza ni kilele cha uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Wazayuni

Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amelitaja shambulio la ndege za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza kuwa ni kilele cha uungaji mkono wa Washington kwa jinai na uhalifu unaofanywa na utawala huo. Ni baada ya ndege za kivita za Israel kushambulia kambi ya wanamapambano wa Wapalestina huko…

Hamas: Kuchomwa wakiwa hai wanajeshi wa Misri na utawala wa Israel kunadhihirisha dhati ya ukatili

Hamas: Kuchomwa wakiwa hai wanajeshi wa Misri na utawala wa Israel kunadhihirisha dhati ya ukatili

Ikitoa radiamali yake kwa habari kuhusu kuchomwa wakiwa hai makumi ya wanajeshi wa Misri katika vita vya mwaka 1967; Harakati ya Muqawama ya Palestina (Hamas) imesema kitendo hicho kinadhihirisha dhati ya ukatili na kutenda jinai ya utawala wa Kizayuni. Gazeti la Yediot Aharanoth wiki hii lilifichua kuwa, utawala wa Kizayuni baada ya kupita zaidi ya miaka…

Mkutano wa kihistoria kati ya Haniyah na Abbas baada ya miaka 15

Mkutano wa kihistoria kati ya Haniyah na Abbas baada ya miaka 15

Ismail Haniyah, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Mahmoud Abbas, mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, wamekutana baada ya miaka mingi ya uhusiano wa pande mbili kukatika. Tangu 2007, uhusiano kati ya Hamas na Mamlaka ya Ndani ya Palestina umekuwa ukikabiliwa na hitilafu kubwa, kufuatia…

Hamas: Jamii ya kimataifa ikomeshe uchokozi wa Wazayuni

Hamas: Jamii ya kimataifa ikomeshe uchokozi wa Wazayuni

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeitaka jamii ya kimataifa itekeleze wajibu wake wa kusimamisha hujuma ya Wazayuni katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds (Jerusalem). Taarifa ya harakati ya Hamas iliyotolewa leo kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 55 tangu utawala wa Kizayuni wa Israel ulipolwaa na kughusubu eneo la Quds Mashariki, imetaka kukomeshwa…

Hania: Makombora 150 yatausambaratisha utawala wa Kizayuni chini ya dakika tano

Hania: Makombora 150 yatausambaratisha utawala wa Kizayuni chini ya dakika tano

Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa, msikiti wa al Aqsa unakaribia kukombolewa na kusisitiza kuwa, makombora 150 yatauangamiza utawala wa Kizayuni katika muda wa chini ya dakika tano. Msikiti Mtakatifu wa al Aqsa ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu umegeuzwa kuwa eneo la wanajeshi…

HAMAS: yaionya Israel iache kuchimba mashimo kwenye eneo la Msikiti wa Al-Aqsa

HAMAS: yaionya Israel iache kuchimba mashimo kwenye eneo la Msikiti wa Al-Aqsa

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeutaka utawala haramu wa Israel uache mara moja kitendo chake cha kuendelea kuchimba mashimo na njia za chini kwa chini kuelekea katika msikiti mtatatifu wa al-Aqsa. Taarifa ya HAMAS imesema, hatua ya Wazayuni kubomoa na kuchimba mashimo na njia mpya za chini kwa chini kuelekea katika Msikiti…