#Hargeisa

Watu kadhaa wauwa katika maandamano Somaliland wakipambana na polisi

Watu kadhaa wauwa katika maandamano Somaliland wakipambana na polisi

Watu kadhaa waliuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa siku ya Alhamisi baada ya polisi kuwafyatulia risasi waandamanaji wanaoipinga serikali katika miji kadhaa ya eneo lililojitenga la Somalia la Somaliland. Mamia ya watu waliandamana mitaani katika mji mkuu Hargeisa na miji ya Burao na Erigavo baada ya mazungumzo kati ya serikali na vyama vya upinzani kuvunjika,…