#hijja

Ibada ya Hija yaanza katika Mji Mtakatifu wa Makka

Ibada ya Hija yaanza katika Mji Mtakatifu wa Makka

Ibada ya kila mwaka ya Hija imeanza rasmi leo Alhamisi katika mji mtakatifu wa Makka, ikiashiria hatua kubwa kuelekea hali ya kawaida baada ya miaka miwili ya janga la corona ambapo idadi ya Mahujaji ilipunguzwa sana. Waislamu milioni moja leo wamekusanyika katika mji mtakatifu Makka  nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija. Idadi hii bado…

Wanaokwenda hijja kuchanjwa tena Uviko-19

Wanaokwenda hijja kuchanjwa tena Uviko-19

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema waliochanjwa chanjo ya Uviko-19 mwaka mmoja au miaka miwili iliyopita hawataruhusiwa kwenda hijja hadi watakaporudia kuchanja chanjo hiyo. Kauli hiyo imetolewa leo Jumamosi Juni 24,2022 na Mkurugenzi wa Hija wa Bakwata, Alhaj Haidari Kambwili, katika semina ya mahujaji inayofanyika ofisi za Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es…

Tanzania yaruhusiwa kusafirisha mahujaji 11,000

Tanzania yaruhusiwa kusafirisha mahujaji 11,000

Dar es Salaam. Wakati nchi ya Saudi Arabia ikiruhusu mahujaji milioni moja kote duniani kwenda kuhiji kwa mwaka huu,Tanzania imeruhusiwa kupeleka mahujaji 11,000. Hayo yamesemwa leo Jumamosi Juni 25,2022 na Mkurugenzi wa Hijja, Alhaji Haidari Kambwili, kwenye semina ya wanaojindaa na safari ya kwenda kuhiji,  iliyofanyika ofisi za makao makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania…