Imarati imeukimbilia utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuomba msaada wa haraka baada ya operesheni kubwa ya shambulio “Kimbunga cha Yemen” iliyolenga mji wa Abu Dhabi na kusababisha hasara kubwa kwa nchi hiyo ya mali na roho za watu. Baada ya kupata hasara kubwa kutokana na operesheni kubwa ya “Kimbunga cha Yemen”, utawala wa Imarati umeomba…
Faraan : Ndege 20 zisizo na rubani pamoja na makombora 10 ya balestiki ya Jeshi na Kamati za Kujitolea za Wananchi wa Yemen yameshambulia maeneo muhimu na nyeti ndani ya ardhi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati). Televisheni ya al Mayadeen imeripoti habari hiyo na kusema kuwa, shambulio hilo limetokea leo Jumatatu ambapo kwa…