
Pakistan: Kauli ya waziri wa ulinzi wa India kuhusu Kashmir ni ya kichochezi
Wizara ya mambo ya nje ya Pakistan imesema kauli aliyotoa waziri wa ulinzi wa India, kwamba eneo la Kashmir ni milki ya nchi hiyo ni ya kichochezi. Kwa mujibu wa chaneli ya televisheni ya NDTV ya India, waziri wa ulinzi wa India Rajnath Singh, ambaye jana Jumatatu alitembelea eneo la Jamu na Kashmir alidai kwamba, Kashmir iliyo…
- 1
- 2