Polisi wa India wamesema kuwa takriban watu wawili wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika maandamano katika mji wa Ranchi kufuatia maandamano ya kupinga kudhalilishwa kwa Mtume wa Uislamu. Licha ya juhudi za maafisa wa serikali ya Narendra Modi kujiweka mbali na kudhalilishwa kwa msemaji wa chama tawala dhidi ya Mtume wa Uislamu, maandamano nchini humo…