
Raisi: Kuimarishwa uhusiano wa Saudi Arabia na Iran ni kwa maslahi ya usalama wa eneo
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ubunifu na hatua za Iraq katika kuboresha ushirikiano baina ya nchi za eneo bila uingiliaji wa madola ajinabi ni jambo ambalo limekuwa na taathira na kuongeza kuwa: “Kurekebishwa na kuimarishwa uhusiano wa Iran na Saudi Arabia ni kwa maslahi ya usalama wa eneo.” Kwa mujibu wa taarifa,…

Makamu wa Rais wa Iran: Marekani na Ulaya hazina njia nyingine ghairi ya kukubali JCPOA
Makamu wa Rais wa Iran anayehusika na masuala ya uchumi amesema, vikwazo na mashinikizo ndiyo silaha ya mwisho kabisa ya Marekani na Ulaya na akaeleza kwamba katika hali ya sasa wao hawana njia nyingine isipokuwa kuyakubali mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Mohsen Rezaee aliyasema hayo hapo jana alipohutubia kabla ya Sala ya Ijumaa ya mjini…

Rais wa Tanzania atoa wito wa upanuzi wa uhusiano wa kiuchumi na Iran
Rais wa Tanzania katika kikao na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kuongezwa maingiliano ya kiuchumi na kibiashara kati ya nchi hizo mbili. Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyewasili katika mji mkuu wa nchi hiyo wa Dodoma jana Ijumaa…

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran akutana na Rais wa Zanzibar
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu7 ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar na wawili hao wamesitizia udharura wa kuimarishwa ushirikiano baina ya pande mbili. Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar ameashiria katika mazungumzo yake na Hussein Amir-Abdollahian kuhusu uhusiano mkongwe baina ya…

Amir-Abdollahian: Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania amesema kuwa, bara la Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran. Hussein Amir-Abdollahian amesema hayo leo jijini Dar es Salaam katika kikao cha wanaharakati wa masuala ya kiuchumi na biashara wa Iran na Tanzania ambapo…

Iran: Israel inapaswa kuharibu silaha zake za nyuklia na ijiunge na NPT
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel uharibu silaha zake za nyuklia na ujiunge haraka na Mkataba za Kuzuia Uzalishaji na Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (NPT). Majid Takht Ravanchi alisema hayo katika Mkutano wa Kumi wa Kuangalia Upya Maazimio ya Nchi…

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Tanzania akitokea nchini Mali
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumatano ameelekea nchini Tanzania baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi katika nchi ya Mali ya Magharibi mwa Afrika. Hiyo ni ziara rasmi ya kwanza ya Hossein Amir-Abdollahian barani Afrika tangu ateuliwe kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran. Aliwasili nchini Mali…

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran awasali nchini Mali na kuonana na wenyeji wake
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anaendelea na ziara yake ya kuzitembelea nchi za Afrika na tayari ameanza mazungumzo na viongozi wa Mali akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika. Hossein Amir-Abdollahian ameandamana na ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi wa…