#iran

Raisi alaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina Gaza, IRGC yatoa neno

Raisi alaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina Gaza, IRGC yatoa neno

Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyopelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa makumi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza. Sayyid Ebrahim Raisi amesema hayo leo Jumamosi hapa mjini Tehran na kuongeza kuwa, “Katika jinai zake za jana usiku, utawala wa Kizayuni kwa mara…

Iran: Wazayuni hawaelewi lugha yoyote isipokuwa mabavu na vita

Iran: Wazayuni hawaelewi lugha yoyote isipokuwa mabavu na vita

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni hauelewi lugha nyingine yoyote isipokuwa mabavu na vita. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, Hossein Amir-Abdollahian amesema hayo leo Jumanne katika sherehe za kuenzi haki za binadamu na heshima ya mwanadamu hapa mjini Tehran na kuongeza kuwa,…

Mapigano yazuka baina ya askari wa mpakani wa Iran na wapiganaji wa Taliban

Mapigano yazuka baina ya askari wa mpakani wa Iran na wapiganaji wa Taliban

Gavana wa mji wa Hirmand ulioko kaskazini ya mkoa wa Sistan na Baluchistan kusini mashariki mwa Iran amesema, yamezuka mapigano kati ya askari wa kikosi cha mpakani cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wapiganaji wa kundi la Taliban la Afghanistan. Meysam Barazandeh, Gavana wa mji wa Hirmand ulioko mkoani Sistan na Baluchistan ameliambia shirika la habari…

New York Times: Iran imekuwa msafirishaji nje mkubwa wa drone duniani

New York Times: Iran imekuwa msafirishaji nje mkubwa wa drone duniani

Gazeti la The New York Times la Marekani limewanukuu wataalamu mbalimbali wakisema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa msafirishaji nje mkubwa wa ndege zisizo na rubani (drone) duniani na inazidi kueneza ushawishi wake katika maeneo tofauti ya hata nje ya Asia Magharibi. Shirika la habari la FARS limelinukuu gazeti hilo la Marekani likidai kuwa,…

Waziri: Iran imetekeleza oparesheni kadhaa zilizofanikiwa dhidi ya Israel

Waziri: Iran imetekeleza oparesheni kadhaa zilizofanikiwa dhidi ya Israel

Wizara ya Intelijensia ya Iran imetekeleza oparesheni kadhaa zilizofanikiwa dhidi ya utawala wa Israel katika miezi ya hivi karibuni sambamba na kuzima idadi kubwa ya njama za utawala huo wa Tel Aviv na waitifaki wake magaidi dhidi ya Iran. Waziri wa Intelijensia Esmail Khatib ameyasema hayo Jumatano mjini Tehran katika mkutano na Spika wa Majlisi…

Jenerali Hajizadeh: Karibuni hivi roketi la kubebea satalaiti la Qaem litakuwa tayari kutumwa angani

Jenerali Hajizadeh: Karibuni hivi roketi la kubebea satalaiti la Qaem litakuwa tayari kutumwa angani

Kamanda wa kikosi cha anga za mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema roketi la kubebea satalaiti la Qaem karibuni hivi litakuwa tayari kurushwa kwa ajili ya kutumwa katika anga za mbali. Katika miaka miwili iliyopita, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejikita katika uundaji maroketi ya kubebea satalaiti na kuweza kupiga hatua…

Iran yavunja mtandao wa majasusi wa Mossad ya Israel

Iran yavunja mtandao wa majasusi wa Mossad ya Israel

Wizara ya Intelijensia ya Iran imetangaza habari ya kutiwa mbaroni majasusi kadhaa waliokuwa wakitumikia shirika la ujasusi la Israel (Mossad). Taarifa ya wizara hiyo imeeleza kuwa, vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kiislamu vimewatia nguvuni majasusi hao waliojipenyeza nchini kupitia eneo la Kurdistan, magharibi mwa Iran. Kwa mujibu wa Wizara ya Intelijensia ya Iran, maajenti hao…

Kukiri wataalamu wa Kizayuni kuwa uwezo wa nyuklia wa Iran hauwezi kuharibiwa kijeshi

Kukiri wataalamu wa Kizayuni kuwa uwezo wa nyuklia wa Iran hauwezi kuharibiwa kijeshi

Katika kujibu maneno ya Dakta Kamal Kharrazi Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Iran na Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Sera za Kigeni la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mkuu wa Majeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel amezungumzia kile amekitaja kuwa tishio la Iran na chaguo la kijeshi na kusema chaguo…