#iran

Iran: Utawala wa Kizayuni ndio adui namba moja wa umma wa Kiislamu

Iran: Utawala wa Kizayuni ndio adui namba moja wa umma wa Kiislamu

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni ndio adui nambari moja wa ulimwengu wa Kiislamu. Hossein Amir-Abdollahian alisema hayo jana Jumatatu mjini Ankara katika kikao na waandishi wa habari akiwa na mwenzake wa Uturuki, Mevlut Cavusoglu, ambapo pia amelipongeza taifa la Uturuki kwa kuunga mkono ukombozi wa Palestina. Amir…

Onyo la Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran kwa Israel

Onyo la Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran kwa Israel

Kamanda mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuchukua hatua yoyote ya kichokozi katika eneo la Asia Magharibi na kusisitiza kuwa, sera ya Israel ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na chokochoko zozote za utawala huo katika eneo zitakabiliwa na…

Amir-Abdollahian: Iran inaamini kuwa kutatua matatizo ya eneo kutztokea ndani ya eneo lenyewe na sio nnje

Amir-Abdollahian: Iran inaamini kuwa kutatua matatizo ya eneo kutztokea ndani ya eneo lenyewe na sio nnje

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inaamini kwenye kutatua matatizo ya eneo kutokea ndani ya eneo lenyewe na ameshukuru na kuthamini juhudi zinazofanywa na Iraq za kutilia nguvu mazungumzo na mchango wa nchi hiyo katika kuleta uwiyano wa kikanda na mazungumzo baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran…

Rais wa Iran afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Iraq mjini Tehran

Rais wa Iran afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Iraq mjini Tehran

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mchana wa leo amemlaki rasmi Waziri Mkuu wa Iraq mjini Tehran. Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumapili amemlaki rasmi Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al Kadhimi katika ikulu ya Saad- Abad hapa Tehran. Waziri Mkuu wa Iraq leo adhuhuri amewasili Tehran akiongoza…

Wazir wa mambo ya wa Iran: Iran inataka iwe na uhusiano na dunia ulio na uwiyano

Wazir wa mambo ya wa Iran: Iran inataka iwe na uhusiano na dunia ulio na uwiyano

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran inataka iwe na uhusiano na dunia ulio na uwiyano na kudumisha sambamba na kupanua uhusiano wake na bara la Ulaya. Hossein Amir-Abdollahian ameyasema hayo leo katika mkutano na waandishi wa habari aliofanya pamoja na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa…

Maduro: Maneno ya kiongozi wa Iran yalinitia nguvu

Maduro: Maneno ya kiongozi wa Iran yalinitia nguvu

Baada ya kukutana na Ayatullah Khamenei, rais wa Venezuela alisema katika ujumbe wake: Maneno ya kiongozi huyo wa Iran yalinitia nguvu. Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameandika katika ujumbe wake wa Twitter akizungumzia mkutano wake na kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran: “Nilikuwa na mkutano uliojaa mambo ya kiroho na hekima pamoja na kiongozi…

Maduro atarajiwa kuizuru Tehran siku ya Jumamosi

Maduro atarajiwa kuizuru Tehran siku ya Jumamosi

Rais wa Venezuela atarajiwa kufanya ziara rasmi mjini Tehran akibeba ujumbe wa ngazi za juu za kisiasa na kiuchumi. Rais wa Venezuela Bw. Nicolas Maduro anatarajiwa kuwasili mjini Tehran mapema siku ya Jumamosi asubuhi kufuatia mwaliko rasmi kutoka kwa Rais Ayatollah Seyyed Ibrahim Ra’isi akibeba ujumbe wa ngazi za juu kutoka kwa maafisa wa kisiasa…

Iran iko tayari kutuma chanjo ya Corona nchini Kenya

Iran iko tayari kutuma chanjo ya Corona nchini Kenya

Katika mazungumzo ya simu na waziri mwenza kutoka nchini Kenya, Waziri wa Mambo ya Nje alitangaza utayari wa nchi ya Iran kwenye swala la kutuma msaada wa kibinadamu nchini Kenya, ikiwa ni pamoja na chanjo ya Corona. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa uhusiano na bara la…