Jeshi la wanamaji la Iran; mlinda usalama katika eneo la maji ya kimataifa
Kamanda wa kikosi cha wanamaji cha jeshi la Iran amesema, kulinda usalama na kuvipa msaada vyombo vya baharini na pia kuonyesha uwezo wa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu sambamba na kufikisha ujumbe wa amani na urafiki, ndio malengo ya Iran ya kuwepo kijeshi kwenye eneo la maji ya kimataifa. Admeri Shahram Irani, ameashiria malengo ya…
Iran yatoa ombi la kuondolewa kwa mzingiro wa kidhalimu nchini Yemen
Ali Asghar Khaji, Mshauri Mwandamizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Hans Grundberg, Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen, wamefanya mazungumzo ya simu wakijadili matukio ya hivi karibuni nchini Yemen. Akiashiria hali ya kusikitisha ya wananchi wa Yemen na hali ngumu sana inayotokana na vita na mzingiro…
Iran na Saudia kuhuisha mahusiano, Balozi kufunguliwa tena hivi karibuni
Mwanachama wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Saudia upo katika mkondo wa kuhuishwa. Mbunge huyo wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Jalil Rahimi Jahan-Abadi amesema hayo katika ujumbe aliotuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter mapema…
Iran yafanya majaribio ya chombo cha kurusha satelaiti kinachotumia fueli mango
Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Iran imefanyia majaribio yaliyofana injini ya kwanza ya Iran yenye kubeba satalaiti katika anga za mbali ambayo inatumia fueli mango. Akizungumza Alhamisi mjini Qum, Kamanda wa Kikosi cha Anga cha IRGC Jenerali Amir-Ali Hajizadeh amesema: “Katika majaribio hayo yaliyofana, injini…
Naibu Kamanda wa Jeshi Asuta Vitisho vya Kijeshi vya Israeli
TEHRAN – Naibu Kamanda wa Jeshi la Iran Brigedia Jenerali Mohammad Hossein Dadras alipuuza vitisho vya kijeshi vya Israeli dhidi ya taifa lake, lakini wakati huo huo alionya juu ya jibu kali la Iran kwa hatua yoyote ya kipumbavu ya Tel Aviv. Utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kuwa sawa na Iran madarakani, Jenerali Dadras…
Iran yaikosoa Marekani kwa kuingiza udikteta kwenye michezo
Rais wa Kamati ya Taifa ya Olimpiki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeikashifu na kuikosoa vikali Marekani kwa hatua yake ya kususia Michezo ya Olimpiki ya Msimu wa Baridi Kali itakayofanyika huko Beijing, China. Reza Salehi Amiri, Rais wa Kamati ya Taifa ya Olimpiki ya Iran katika barua yake kwa mwenzake wa China, Jung Wengu…
Iran yaikashifu WSJ ya U.S kwa kuchapisha makala yasiyoridhisha
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelikosoa vikali gazeti la Kimarekani la Wall Street Journal kwa kuchapisha makala ya kipumbavu na ya kihasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, wakati huu wa kuendelea kufanyika mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Iran huko Vienna. Taarifa ya Ubalozi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imesema kuwa, hatua ya gazeti…
Irani yaadhimisha mazishi ya mashahidi 250, Kiongozi Muadhamu azungumza
Wananchi wa Iran wamejitokeza kwa wingi katika mazishi ya mashahidi wao 250 waliouawa wakati wa vita vya miaka minane vya kujihami kutakatifu vilivyoanzishwa na utawala wa kidikteta wa Saddam wa Iraq dhidi ya dola changa wakati huo la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Mazishi hayo yamefanyika leo Alkhamisi sambamba na kumbukuku ya siku ya kufa…