Hamasa ya 9 Dey; Siku ya Ung’amuzi na Kufungamana Taifa na Uongozi
Leo tarehe 30 Disemba ni siku ya kukumbuka ushiriki unaoshabihiana na ule wa Siku ya Ashura wa wananchi wa Iran wenye kuibua hamasa na watiifu kwa uongozi wa Faqihi Mtawala. Hamasa hiyo ilijiri Tarehe 9 Dei mwaka 1388 Hijria Shamsia iliyosadifiana na tarehe 30 Disemba 2009, ambapo kulijiri tukio jingine katika historia iliyojaa fahari ya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na viongozi wakuu wa Oman
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana katika nyakati tofauti na Waziri wa Mambo ya Nje na Waziri wa Ofisi ya Mfalme wa Oman, wakajadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu masuala yenye maslahi kwa pande mbili. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa…
Kiongozi Muadhamu ahudhuria maombolezo ya kumbukumbu ya kufa shahidi Bibi Fatima (SA)
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshiriki kikao cha maombolezo ya kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatimatu-Zahra (SA), binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Amirul Muuminin Ali bin Abi Talib (AS), Imamu wa kwanza wa Waislamu wa madhehebu ya Shia. Ayatullah Ali Khamenei amehudhuria marasimu hayo ya kimaanawi hapa mjini Tehran jana…
Rais wa Iran amtumia Papa Francis Salamu za Krismasi
Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za pongezi kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Nabii Isa bin Maryam-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-na kuwadia mwaka mpya wa Miladia. Katika ujumbe kwa Papa Francis, kiongozi wa Wakatoliki duniani, rais huyo amempongeza pamoja na wafuasi wote wa Ukristo kwa mnasaba…
Wavuvi wa Kiirani waliotekwa na al-Shabaab waachiwa huru baada ya miaka 8
Wavuvi 14 Wairani waliokuwa wanashikiliwa mateka na wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab nchini Somalia wamewasili nchini Iran baada ya kuachiwa huru. Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetangaza habari hiyo na kueleza kuwa, mabaharia hao waliokuwa wametekwa nyara na wanamgambo wa al-Shabaab miaka minane iliyopita wameachiwa huru kutokana na jitihada za kidiplomasia…
Urutubishaji wa urani wa Iran umefikia kiwango cha asilimia 60
Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) anasema urutubishaji wa madini ya urani nchini sasa umefikia kiwango rasmi cha uhalisia wa asilimia 60 kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na Majlisi (bunge) mwezi Disemba 2020 inayotaka kuharakishwa maendeleo ya mpango wa nyuklia wa Iran wenye malengo ya amani. Behrouz Kamalvandi aliyasema hayo katika…
Mkuu wa taasisi ya utafiti wa nyuklia: Maajinabi hawawezi kusimamisha sekta ya nyuklia ya Iran
Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia amesema: Maajinabi hawawezi kusimamisha sekta ya nyuklia ya Iran. Seyed Hossein Feqhi, Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia ya Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran ameeleza katika mkutano na waandishi wa habari kwa mnasaba wa Wiki ya Utafiti:…
Hatua mpya za nchi za Magharibi za kuzuia matangazo ya Press TV; nembo ya vita vya mseto dhidi ya Iran
Shirika la huduma za satalaiti la Intelsat la Ufaransa limetangaza kukata matangazo ya televisheni ya Press TV ya Iran wiki chache baada ya vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya televisheni hii ambayo hurusha matangazo yake kwa lugha ya Kiingereza duniani kote. Umoja wa Ulaya hivi karibuni, kwa kisingizo cha eti kuunga mkono demokrasia,…