#iran

Njama na hila za adui wa taifa la Iran za kulazimisha JCPOA 2 na JCPOA 3

Njama na hila za adui wa taifa la Iran za kulazimisha JCPOA 2 na JCPOA 3

Baada ya Iran na nchi zilizounda kundi la 5+1 kufikia mwafaka Julai 2015 juu ya kadhia ya nyuklia ya Iran na kusaini Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, kwa kifupi JCPOA, nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani, -iwe ni baada ya kuanza kutekelezwa JCPOA mnamo mwaka 2016 au baada ya kujitoa Marekani kwenye makubaliano hayo…

Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi yanayotaka kujitenga ya Iran

Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi yanayotaka kujitenga ya Iran

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imelaani operesheni za kijeshi Iran dhidi ya makundi ya kigaidi ya Wakurdi wanaotaka kujitenga yaliyoko kaskazini mwa Iraq na imeitaka Tehran kusitisha mashambulizi hayo. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilitoa taarifa hiyo baada ya Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) kutoa malalamiko yake kuhusiana na operesheni za kijeshi…

Kombe la Dunia: Iran yaichapa Wales 2-0 na kuhuisha matumaini ya kusonga mbele

Kombe la Dunia: Iran yaichapa Wales 2-0 na kuhuisha matumaini ya kusonga mbele

Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iimeichapa Wales mabao 2 kwa 0 katika fainali za mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar. Vijana wa Kocha Mreno Carlos Queiroz leo waliingia uwanjani katika mechi ya kundi B wakiwa na jeraha kubwa la kutandikwa na Uingereza mabao 6 kwa…

Noam Chomsky: Nia ya Marekani ni kuudhofisha Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Noam Chomsky: Nia ya Marekani ni kuudhofisha Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Mwanafalsafa na mwanaisimu mtajika wa Marekani Noam Chomsky amethibitisha kuwa serikali ya nchi hiyo inasaidia na kuunga mkono machafuko ndani ya Iran na akabainisha kwamba Washington inaunga mkono hatua zozote za kuudhoofisha Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Hivi karibuni Marekani iliiwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kutumia kisingizio cha kuunga mkono…

Iran ni ya 10 duniani kwa kuzalisha magari madogo; yazipiku Uingereza na Ufaransa

Iran ni ya 10 duniani kwa kuzalisha magari madogo; yazipiku Uingereza na Ufaransa

Shirikisho la watengeza magari barani Ulaya limeitangaza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa taifa la kumi duniani kwa kuzalisha na kutengeneza magari madogo. Shirikisho la watengeza magari barani Ulaya limeitangaza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa taifa la kumi duniani kwa kuzalisha na kutengeneza magari madogo. Taarifa ya shirikisho hilo imeeleza kuwa, katika kipindi cha…

Rais Raisi: Kushika nafasi ya kwanza katika kanda kwenye sekta ya afya ni kielelezo cha ustawi wa Iran

Rais Raisi: Kushika nafasi ya kwanza katika kanda kwenye sekta ya afya ni kielelezo cha ustawi wa Iran

Rais Ebrahim Raisi amesema kushika nafasi ya kwanza katika eneo na ya kumi na tano duniani katika uga wa afya na tiba ni ishara na kielelezo cha maendeleo na ustawi wa nchi. Rais Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyasema hayo leo alipotembelea Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu katika kikao cha tume…

Rais wa Iran asema Marekani inashindwa kutokana na maendeleo ya Wairani lakini bado haijifunzi kutokana na hilo

Rais wa Iran asema Marekani inashindwa kutokana na maendeleo ya Wairani lakini bado haijifunzi kutokana na hilo

Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Marekani imeshindwa mbele ya maendeleo makubwa yaliyofanywa na taifa la Iran katika kipindi cha miongo minne iliyopita lakini bado haijajifunza kutokana na kushindwa kwake huko. “Ghadhabu na uadui wa Wamarekani kutokana na maendeleo ya taifa la Iran daima imeendelea bila natija katika miongo minne iliyopita, lakini Wamarekani bado hawajajifunza…

Kapteni wa timu ya Iran: Vyombo vya habari vya Uingereza vimeanzisha vita vya kisaikolojia

Kapteni wa timu ya Iran: Vyombo vya habari vya Uingereza vimeanzisha vita vya kisaikolojia

Nahodha wa timu ya taifa ya kandanda ya Iran katika Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar amesema, vyombo vya habari vya Uingereza vimeanzisha mchezo wa vita vya kisaikolojia sambamba na kukaribia mechi kati ya timu ya nchi hiyo na Iran. Timu ya taifa ya soka ya Iran imepangwa pamoja na Uingereza, Wales na Marekani…