
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Maandamano ya Arubaini ni ishara ya irada ya Mwenyezi Mungu kuinua juu bendera ya Uislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelitaja tukio la kimiujiza la maandamano na matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (as) kuwa ni ishara ya irada ya Mwenyezi Mungu ya kunyanyua juu bendera ya Uislamu ya Ahlul Bayt. Ayatullah Ali Khamenei amesema leo Jumamosi katika shughuli ya maombolezo ya wanafunzi wa vyuo vikuu kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam…

Iran: Utawala haramu wa Israel siku zote umekuwa tishio dhidi ya amani na usalama wa kimataifa
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, misingi ya utawala wa kibaguzi wa Israel imejengeka juu ya uvamizi na tishio kwa amani na usalama wa dunia. Akiashiria mauaji ya Sabra na Shatila yaliyofanywa na utawala dhalimu wa Israel huko Lebanon katika kambi za wakimbizi wa Kipalestina mwaka…

Kurejea balozi wa Imarat nchini Iran baada ya miaka 7; sisitizo la Abu Dhabi la kuimarisha ushirikiano na Tehran
Balozi wa Imarati amerejea hapa Tehran baada ya kupita miaka saba ambapo katika mazungumzo yake na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran amesisitizia suala la kukuzwa na kuimarishwa uhusiano baina ya pande mbili. Akizungumza siku ya Jumanne na Hussein Amir-Abdollahian, Saif Mohammed Al Zaabi, balozi wa Imarati nchini Iran ameonyesha…

Kitabu kipya chafichua hofu ya Trump ya kulipiziwa kisasi na Iran kwa mauaji ya Kamanda Soleimani
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, aliwaambia rafiki zake kabla ya kumalizika muhula wake wa urais kuwa, alikuwa akihofia kwamba Iran ingejaribu kumuuwa ili kulipiza kisasi mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa mapinduuzi ya Kiislamu (Sepah). Hayo ni kwa mujibu wa kitabu kipya….

Taarifa ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; mzongano usiozongoka wa uzushaji tuhuma dhidi ya Iran
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani taarifa ya hivi karibuni ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na ya ile inayojiita kamati ya pande nne na kusisitiza kuwa hatua zinazochukuliwa na Iran kuhusiana na visiwa vyake vitatu zinalenga kulinda mamlaka ya kujitawala ardhi yote ya taifa…

Iran inajitosheleza katika kuunda ndege zisizo na rubani (droni)
Kamanda wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran inajitosheleza katika uundaji wa ndege zisizo na rubani (droni). Sekta ya ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hadi leo imekuwa na mafanikio mbalimbali nchini katika nyanja mbalimbali za nchi kavu, baharini, anga, na makombora. Aidha…

Mazungumzo ya Maziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amefanya mazungumzo ya simu na kubadilishana mawazo na Bi. Naledi Pandor, Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini, kuhusiana na masuala ya uhusiano pande mbili, kikanda na kimataifa. Akigusia umuhimu wa Bara la Afrika katika siasa za nje za Jamhuri ya…

Mazoezi ya vikosi vya nchi kavu vya jeshi; maonyesho ya nguvu na uwezo wa Iran ya Kiislamu
Mazoezi ya Uwezo 1401 ya jeshi la Iran yanafanyika kwa muda wa siku mbili kwa lengo la kutathmini na kuboresha kiwango cha nguvu na utayari wa kupambana wa Jkikosi cha Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na vitisho tarajiwa. Mazoezi hayo yalianza jana Jumatano kwa kushirikisha askari wa miguu, drone,…