#iraq

Kuendelea uingiliaji hasi wa Marekani katika masuala ya ndani ya Iraq

Kuendelea uingiliaji hasi wa Marekani katika masuala ya ndani ya Iraq

Marekani ingali inaendelea kuingilia masuala ya ndani ya Iraq kwa namna hasi, kwa kuzingatia nyenzo za mashinikizo ilizonazo mikononi mwake. Tangu mwaka 2003, Iraq imejionea enzi mpya katika siasa na muundo wake wa madaraka. Mnamo mwaka huo, Marekani iliishambulia na kuivamia kijeshi nchi hiyo na kuupindua utawala wa Kibaathi. Japokuwa tukio hilo lilihitimisha mfumo wa kidikteta…

Kutolewa hukumu ya kumtia nguvuni Trump; Azma ya Iran na Iraq kwa ajili ya kuadhibiwa wahusika wa mauaji ya makamanda wa muqawama

Kutolewa hukumu ya kumtia nguvuni Trump; Azma ya Iran na Iraq kwa ajili ya kuadhibiwa wahusika wa mauaji ya makamanda wa muqawama

Sayyid Razi Imadi Faiq Zaidan, Mkuu wa Baraza Kuu la Mahakama la Iraq ameeleza kuwa chombo cha mahakama cha nchi hiyo kimetoa hukumu ya kutiwa mbaroni Donald Trump rais wa zamani wa Marekani ambaye amekiri hadharani kutekeleza jinai hiyo ya mauaji dhidi ya makamanda wa ushindi. Luteni Jenerali Qassim Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha…

Marekani ilikiuka mamlaka ya kujitawala Iraq kwa kuwaua Jenerali Soleimani na Al Muhandis

Marekani ilikiuka mamlaka ya kujitawala Iraq kwa kuwaua Jenerali Soleimani na Al Muhandis

Waziri Mkuu wa Iraq, Mohammed Shia’ al-Sudani amemuenzi kamanda wa ngazi ya juu wa kupambana na ugaidi wa Iran, Luteni Jenerali Qassem Soleimani na mwenzake wa Iraq, Abu Mahdi al-Muhandis, waliouawa katika shambulio la kigaidi la ndege zisizo na rubani za Marekani karibu na uwanja wa ndege wa Baghdad miaka mitatu iliyopita, na kusema kuwa…

Trump atalipa gharama kubwa kwa mauaji ya Soleimani na Muhandis: Makundi ya mapambano ya Iraq

Trump atalipa gharama kubwa kwa mauaji ya Soleimani na Muhandis: Makundi ya mapambano ya Iraq

Kiongozi wa kundi la mapambano la Asa’ib Ahl al-Haq la nchini Iraq amesema rais wa zamani wa Marekani Donald Trump atalipa gharama kubwa kwa kuhusika na mauaji ya kigaidi dhidi ya mashujaa wawili wa mapambano dhidi ya ugaidi, Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis. Qais al-Khazali aliyasema hayo hivi karibuni katika hafla ya kuwakumbuka…

Mashahidi Soleimani, Al-Muhandis walisambaratisha njama Magharibi

Mashahidi Soleimani, Al-Muhandis walisambaratisha njama Magharibi

Makamanda wa muqawama Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis walizuia njama za nchi za Magharibi dhidi ya Umma wa Kiislamu, kiongozi mkuu wa Kisunni wa Iraq alisema. Rais wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Kisunni wa Iraq Sheikh Khaled al-Mulla alisema Marekani ambayo ilishindwa kukabiliana na watu hao wawili, iliwaua katika operesheni ya kiwoga…

Wairaqi wamkumbuka Shahidi Soleimani, waapa kuendeleza njia yake

Wairaqi wamkumbuka Shahidi Soleimani, waapa kuendeleza njia yake

Wananchi wa Iraq katika Mkoa wa Salahedine wameshiriki katika hafla ya kumkumbuka kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Qassem Soleimani na wenzake wakati wa kukaribia maadhimisho ya mwaka wa tatu wa kuuawa kwao shahidi katika hujuma ya jeshi la kigaidi la Marekani. Wananchi pamoja na …

Raisi: Jina la shahid Soleimani ni nembo ya mapambano dhidi ya ugaidi duniani

Raisi: Jina la shahid Soleimani ni nembo ya mapambano dhidi ya ugaidi duniani

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika sherehe za kuadhimisha mwaka wa tatu wa tangu kuanza kurusha matangazo yake redio ya muqawama kwamba, leo hii jina la shahid Soleimani ni nembo ya muqawama na kusimama kidete katika kupambana na ugaidi ulimwenguni. Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi…

Ujumbe wa UN wakutana na Ayatullah Sistani, unafuatilia jinai za Daesh

Ujumbe wa UN wakutana na Ayatullah Sistani, unafuatilia jinai za Daesh

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa leo (Jumatatu) umekutana na kufanya mazungumzo na kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Ali Sistani katika mji mtakatifu wa Najaf al Ashraf. Ujumbe huo wa Umoja wa Mataifa unaoongozwa na Christian Ritscher, mshauri wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na mkurugenzi wa timu ya uchunguzi…