
Raisi: Iran daima inaunga mkono taifa lenye umoja na serikali yenye nguvu huko Iraq
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo kati yake na Waziri Mkuu wa Iraq hapa Tehran kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku zote inakaribisha na kuunga mkono taifa lenye mshikamano na serikali yenye nguvu huko Iraq. Mohammed Shia al Sudani Waziri Mkuu wa Iraq jana Jumanne aliwasili Tehran akiongoza ujumbe wa…

Kustawisha uhusiano na kutatua hitilafu na majirani; kipaumbele cha sera za nje za serikali mpya ya Iraq
Mohammed Shia al Sudani Waziri Mkuu mpya wa Iraq amefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa kuzitembelea Jordan na Kuwait. Waziri Mkuu mpya wa Iraq Jumatatu iliyopita alielekea Jordan akiwa katika ziara yake ya kwanza rasmi nje ya nchi. Shia al Sudani si Waziri Mkuu wa kwanza wa Iraq kuwahi kufanya ziara yake…

Al Sudani afanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait
Waziri Mkuu wa Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait na kusisitiza juu ya ulazima wa kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili. Waziri Mkuu wa Iraq Mohammad Shia Al Sudani pamoja na ujumbe wake alioambatana nao huko Kuwait jana Jumatano walilakiwa katika ikulu ya al Bayan nchini humo na…

Al Mayadeen: Silaha nyingi zilizotumiwa kwenye machafuko Iran zimeingizwa kupitia Kurdistan ya Iraq
Televisheni ya Al Mayadeen imeeleza katika ripoti maalumu kuwa, silaha nyingi zilizoingizwa kimagendo nchini Iran kwa ajili ya kutumiika katika vitendo vya kigaidi, kuzusha machafuko na kuvuruga amani zimepitishwa kwa kutumia mpaka wa eneo la Kurdistan ya Iraq. Kuibuka machafuko hivi karibuni nchini Iran kwa kisingizio cha kifo cha msichana Mahsa Amini kwa mara nyingine tena…

Iraq yawatia nguvuni magaidi 15 wa Daesh
Vikosi vya usalama vya Iraq vimewatia mbaroni magaidi 15 wa kundi la Daesh katika mikoa sita ya nchi hiyo. Mamluki waliosalia wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wangali wanaendesha harakati zao katika mikoa ya Baghdad, Salahuddin, Diyala, Kirkuk, Nainawa na al Anbar huko Iraq. Idara ya Usalama wa Taifa ya Iraq jana Ijumaa…

Kampuni ya Uingereza yagundulika kuhusika na kashfa ya kueneza saratani Iraq
Tovuti moja ya habari mefichua kuwa kampuni ya Uingereza inayofanya kazi katika maeneo ya mafuta ya Iraq ni moja ya sababu kuu za kuenea kwa saratani nchini humo. Tovuti moja ya habari imefichua kwamba Kampuni ya Petroli ya Uingereza ilisababisha kuenea kwa uugonjwa wa saratani nchini Iraq, lakini vyombo vya habari vya Magharibi na hasa vya…

Wafanyaziara milioni 1 na nusu watembelea Samarra Iraq baada ya Arubaini
Mji wa Samarra wenye haram mbili tukufu za Maimam wa Ahlul Bayt wa Bwana Mtume Muhammad SAW umeshuhudia wimbi kubwa la wafanyaziara waliolekea mjini humo baada ya kushiriki kwenye Arubaini ya Imam Husain AS huko Najaf na Karbala nchini Iraq. Taarifa kutoka nchini Iraq zinasema kuwa, zaidi ya wafanyaziara milioni 1 na laki tano wameelekea…

Wafanyaziara milioni 24 washiriki matembezi Arbaeen ya Imam Hussein AS huko Karbala, Iraq
Wafanyaziara milioni 24 wamekusanyika katika mji wa Karbala wa Iraq kuadhimisha Arbaeen, tukio la kila mwaka ambalo linaadhimisha siku ya 40 baada ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (AS), Imam wa tatu wa madhehebu ya Shia. Mjumuiko wa Arbaeen huko Karbala Iraq, umetajwa kuwa mjumuiko mkubwa zaidi wa kidini ulimwenguni, unaowaleta pamoja mamilioni ya…