#islam

Agizo la kuanzisha mahusiano mema ya kijamii – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Agizo la kuanzisha mahusiano mema ya kijamii – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Desemba 30, 2022   HOTUBA ya 1: Rabetu – Agizo la kuanzisha mahusiano mema ya kijamii Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha…

Kutoa sadaka kila kitu ulicho nacho kwa ajili ya kumpenda Mwenyezi Mungu ni dhabihu:Allama Syed Jawad Naqvi

Kutoa sadaka kila kitu ulicho nacho kwa ajili ya kumpenda Mwenyezi Mungu ni dhabihu:Allama Syed Jawad Naqvi

Eid Al Adha – 10th July 2022  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi  (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan   Hotuba ya 1: Kutoa sadaka kila kitu ulicho nacho kwa ajili ya kumpenda Mwenyezi Mungu ni dhabihu Taqwa ni kinga kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambayo…

Maandamano ya kupinga kudhalilishwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) yaendelea nchini India; Polisi: Takriban watu wawili wauawa

Maandamano ya kupinga kudhalilishwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) yaendelea nchini India; Polisi: Takriban watu wawili wauawa

Polisi wa India wamesema kuwa takriban watu wawili wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika maandamano katika mji wa Ranchi kufuatia maandamano ya kupinga kudhalilishwa kwa Mtume wa Uislamu. Licha ya juhudi za maafisa wa serikali ya Narendra Modi kujiweka mbali na kudhalilishwa kwa msemaji wa chama tawala dhidi ya Mtume wa Uislamu, maandamano nchini humo…