#israel

Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni

Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni

Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba oparesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyofanywa na kijana wa Kipalestina katika eneo la Quds inayokaliwa kwa mabavu ni shambulio baya zaidi dhidi ya utwala huo katika miaka ya hivi karibuni. Ijumaa iliyopita kijana wa Kipalestina aliyejulikana kwa jina la “Khairi Alqam, 21, aliwashambulia Wazayuni katika kitongoji cha…

Netanyahu azidi kupelekwa mchakamchaka, kiongozi mwingine wa serikali ajiuzuluu

Netanyahu azidi kupelekwa mchakamchaka, kiongozi mwingine wa serikali ajiuzuluu

Duru za utawala wa Kizayuni wa Israel zimetangaza hbari ya kujiuzulu kiongozi mwingine wa serikali ya utawala huo poandikizi na kuzidi kuipeleka mchakamchaka serikali yenye misimamo ya kufurutu ada ya Benjamin Netanyahu. Kwa siku kadhaa sasa utawala wa Kizayuni unashuhudia mapambano baina ya serikali mpya yenye misimamo mikali na wapinzani. Jumamosi wiki hii kulifanyika maandamano…

Israel yashadidisha ukatili wake dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi

Israel yashadidisha ukatili wake dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi

Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia kambi ya wakimbizi ya Wapalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi Wapalestina wawili. Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti habari hiyo na kueleza kuwa, vikosi vya utawala haramu wa Israel mapema leo…

Kuongezeka idadi ya Wazayuni waliokimbia kutoka ardhi za Wapalestina mwaka 2022

Kuongezeka idadi ya Wazayuni waliokimbia kutoka ardhi za Wapalestina mwaka 2022

Vyombo vya habari vya Kiibrania vimetangaza karibuni kwamba idadi ya Wazayuni waliokimbia kutoka ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu mwaka uliopita wa 2022 kutokana na mapambano makali ya Waplestina dhidi ya askari vamizi wa utawala wa Israel iliongezeka sana. Katika miaka iliyopita Wazayuni wamekuwa wakihamia katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu…

Maandamano ya mapema dhidi ya serikali ya Netanyahu; indhari kuhusu vita vya ndani

Maandamano ya mapema dhidi ya serikali ya Netanyahu; indhari kuhusu vita vya ndani

Makumi ya maelfu ya wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel) wameandamana kulalamikia maamuzi yaliyochukuliwa na serikali ya Benjamin Netanyahu ya kubana mfumo wa mahakama wa utawala huo. Maandamano ambayo yamefanyika karibuni katika miji ya Tel Aviv na Haifa yamewashirikisha watu wengi zaidi ikilinganishwa na yale yaliyofanyika katika miji mingine ya ardhi zinazokaliwa…

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC yataka Mzayuni Ben-Gvir awekewe vikwazo

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC yataka Mzayuni Ben-Gvir awekewe vikwazo

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha kuchunguza kuvunjiwa heshima Msikiti wa Al-Aqsa na Wazayuni wenye itikadi kali. Kikao hicho kimefanyika mjini Jeddah Saudi Arabia na kusisitiza kuwekewa vikwazo waziri wa usalama wa ndani wa utawala wa Kizayuni. Itamar Ben-Gvir, waziri wa usalama wa ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel…

OIC yaitisha kikao cha dharura kujadili hujuma za Israel dhidi ya msikiti wa al-Aqswa

OIC yaitisha kikao cha dharura kujadili hujuma za Israel dhidi ya msikiti wa al-Aqswa

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetangaza kuwa, wiki hii itaitisha kikao cha dharura cha nchi wanachama kwa ajili ya kujadili hujuma za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya msikiti wa al-Aqswa. Duru za karibu na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC)  zinasema kuwa, kikao hicho cha dharura kinatarajiwa kufanyika kesho Jumanne katika makao makuu ya jumuiya…

Wasiwasi wa kieneo na kimataifa kuhusu tabia ya ubaguzi wa rangi ya baraza jipya la mawaziri la Israel dhidi ya Wapalestina

Wasiwasi wa kieneo na kimataifa kuhusu tabia ya ubaguzi wa rangi ya baraza jipya la mawaziri la Israel dhidi ya Wapalestina

Hatua ya hivi karibuni ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa utawala haramu wa Israel, ya kuingia kinyume cha sheria katika Msikiti Mtukufu wa al-Aqsa imekabiliwa na radiamali kali ya kieneo na kimataifa, na ambayo imezipelekea nchi za China na Imarati kuomba kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa ajili…