#israel

Israel yaua shahidi Wapalestina 2; yashambulia Syria kwa makombora

Israel yaua shahidi Wapalestina 2; yashambulia Syria kwa makombora

Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendeleza jinai na chokochoko zake dhidi ya mataifa mawili ya Waislamu katika eneo hili la Asia Magharibi. Wanajeshi makatili wa utawala huo pandikizi wamewaua shahidi mabarobaro wawili wa kiume wa Kipalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Kituo cha Habari cha Palestina kimeripoti kuwa, vijana hao wa Kipalestina Yazan Afana…

Undumakuwili wa Marekani kuhusu suala la uhuru wa kujieleza

Undumakuwili wa Marekani kuhusu suala la uhuru wa kujieleza

Kufuatia matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Nader Hashemi, Mhadhiri na Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Mashariki ya Kati katika Chuo Kikuu cha Denver, kuhusiana na uwezekano wa Israel kuhusika katika shambulio dhidi ya Salman Rushdie, Warepublican katika Congress ya Marekani wameonya kuhusu ushawishi wa Iran katika vyuo vikuu vya nchi hiyo na kutangaza kwamba…

Wanawake Wapalestina wanateseka katika jela za Israel

Wanawake Wapalestina wanateseka katika jela za Israel

Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni, utawala haramu wa Israel umewatia mbaroni zaidi ya wanawake 16,000 wa Kipalestina tangu mwaka 1967 huku mashirika ya haki za binadamu yakionya kuhusu hali mbaya ya wafungwa wa kike katika jela za kuogofya za Israel. Addameer, asasi isiyo ya kiserikali ya Wapalestina ambayo inafuatilia jinsi wafungwa wa Kipalestina…

Iran: Israel inapaswa kuharibu silaha zake za nyuklia na ijiunge na NPT

Iran: Israel inapaswa kuharibu silaha zake za nyuklia na ijiunge na NPT

Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel uharibu silaha zake za nyuklia na ujiunge haraka na Mkataba za Kuzuia Uzalishaji na Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (NPT). Majid Takht Ravanchi alisema hayo katika Mkutano wa Kumi wa Kuangalia Upya Maazimio ya Nchi…

HAMAS: Jukumu la kambi ya muqawama ni kuifuta Israel katika uso wa dunia

HAMAS: Jukumu la kambi ya muqawama ni kuifuta Israel katika uso wa dunia

Kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, jukumu kuu la kambi ya muqawama ni kuhakikisha ardhi zote za Palestina zinakombolewa na hiyo maana yake ni kufutwa katika uso wa dunia, utawala pandikizi wa Kizayuni ambao unazikalia kwa mabavu ardhi za Palestina. Shirika la habari la FARS limemnukuu Mahmoud…

Nasrullah: Ushindi wa mwaka 2000 wa Muqawama ulitamatisha mradi wa “Israel Kubwa”

Nasrullah: Ushindi wa mwaka 2000 wa Muqawama ulitamatisha mradi wa “Israel Kubwa”

Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, ushindi wa mwaka 2000 wa Muqawama ulihitimisha mradi wa “Israel Kubwa.” Sayyid Hassan Nasrullah ameyasema hayo katika hotuba ya ufungaji wa sherehe za kuadhimisha “Machipuo Arubaini” kwa mnasaba wa kutimia miaka 40 tangu ilipoasisiwa harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah. Nasrullah ameeleza kuwa kuna mafungamano makubwa baina ya…

Wanajeshi wa Israel waendeleza jinai katika maeneo tofauti ya Palestina

Wanajeshi wa Israel waendeleza jinai katika maeneo tofauti ya Palestina

Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wanaendelea na jinai zao dhidi ya Wapaelstina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Kanali ya Telegram ya al Risala imesambaza mkanda wa video leo Jumanne unaoonesha jinai za wanajeshi makatili wa Israel na jinsi wanavyovamia na kufanya ukatili dhidi ya Wapalestina katika mji wa al Khalil wa…

Zaidi ya nusu karne sasa tangu kufanyika jinai ya kuchomwa moto Msikiti wa al-Aqswa

Zaidi ya nusu karne sasa tangu kufanyika jinai ya kuchomwa moto Msikiti wa al-Aqswa

Jumapili ya jana tarehe 21 Agosti ilisadifiana na kutimia mwaka wa 53 tangu kuchomwa moto Msikiti mtakatifu wa al-Aqswa, kibla cha kwanza cha Wiaslamu, jinai ambayo ilifanywa na utawala vamizi wa Israel ambapo walimwengu walibakia kuwa watazamaji tu na kutoonyesha radiamali yoyote kwa kitendo hicho cha kinyama. Tarehe 21 Agosti 1969 Mzayuni mmoja aliuchoma moto…