
Wafungwa wa Palestina waanza mgomo wa kula
Mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel wameanzisha mgomo usio na kikomo wa kula chakula. Shirika la habari la Palestin al-Yaum limeinukuu Bodi ya Wafungwa Wapalestina ikisema kuwa, hali ya taharuki imetanda katika jela na magereza ya utawala wa Kizayuni, baada ya mateka hao wa Kipalestina kuanza mgomo…

Siku ya Kimataifa ya Misikiti; Palestina iko mstari wa mbele kulinda Msikiti wa al Aqsa
Khatibu wa Msikiti wa al Aqsa katika mji mtakatifu wa Quds huko Palestina amesema kuwa, Msikiti huo mtakatifu bado uko kwenye moto wa jinai za Wazayuni lakini wananchi wa Palestina wataendelea kuwa mstari wa mbele kuulinda. Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu ya Palestina OIC imeitangaza tarehe 21 Agosti kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Misikiti…

Wazayuni wajuta kumshinikiza Trump ajitoe katika makubaliano ya nyuklia JCPOA mwaka 2018
Wakuu wa masuala ya usalama wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wameonyesha majuto kwa hatua ya utawala huo ya kumshinikiza rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ajitoe kwenye makubaliano ya nyuklia JCPOA mwaka 2018. Ripoti iliyotolewa na chaneli ya televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya KAN 11 kuhusu mazungumzo yanayohusiana na makubaliano ya…

Salami: Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan umo mbioni kujizatiti kwa silaha dhidi ya Wazayuni
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa, mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel yamefika hadi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuongeza kuwa, hivi sasa eneo hilo limo mbioni kujizatiti kwa silaha kwa ajili ya kukabiliana na Wazayuni maghasibu. Brigedia Jenerali Hussein Salami sambamba…

Uhusiano wa Uturuki na Israel walipiga jambia kwa nyuma taifa la Palestina
Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Ukombozi wa Wananchi wa Palestina amelaani vikali hatua ya Uturuki ya kurejesha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel. Jumatano iliyopita, Uturuki na utawala wa Kizayuni zilikubaliana kufufua uhusiano baina yao baada ya kusimama kwa muda wa miaka minne. Mwaka 2018 Uturuki ilisimamisha uhusiano…

Oman yasisitizia msimamo wake wa kutoruhusu ndege za Israel kutumia anga yake
Oman imesisitizia msimamo wake wa kukataa kuruhusu ndege za utawala wa haramu wa Israel kuruka katika anga yake. Wakati Oman ikiendelea kusisitizia msimamo wake huo, gazeti moja ya Kiebrania limedai kwamba, eti mashinikizo ya Iran ndiyo yanayoufanya utawala wa Oman kung’ang’ania msimamo huo. Gazeti la Israel Hayom lilidai katika chapisho lake jana kwamba, msimamo huo…

HAMAS: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Mousa Mohammed Abu Marzook, Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Marekani ni mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina. Mousa Abu Marzook amesema hayo katika radiamali yake kwa taarifa zilizosambaa zinazodai kuweko mawasiliano ya siri ya Marekani…

Wapalestina wafichua njama ya Israel ya kuubomoa kikamilifu msikiti wa Al Aqsa
Duru za Palestina katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu zimefichua njama ya awamu tatu iliyoandaliwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa lengo la kuubomoa msikiti mtukufu wa Al Aqsa. Kwa mujibu wa duru hizo, lengo la njama hiyo ni kuchimba misingi kwa madhumuni ya kuzifanya kuta za msikiti wa Al…