#israel

Wabunge Ufaransa walaani sera za apathaidi za Israel

Wabunge Ufaransa walaani sera za apathaidi za Israel

dadi kubwa ya wabunge katika Bunge la Kitaifa la Ufaransa wametia saini rasimu ya azimio la kulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na sera zake za ubaguzi wa rangi au apatahidi na jinai za kivita dhidi ya Wapalestina. Azimio hilo ambalo lina kichwa kisemacho: “Kutaasisishwa Utawa wa Apathaidi Dhidi ya Watu wa Palestina” limeidhinishwa…

Tanzania yapinga hatua ya Marekani kutambua Quds kama mji mkuu wa Israel

Tanzania yapinga hatua ya Marekani kutambua Quds kama mji mkuu wa Israel

Tanzania imetangaza rasmi kupinga uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani kutambua mji wa Quds (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel. Akizungumza na gazeti la The Citizen, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Augustino Mahiga amesema Tanzania kama ilivyo kwa jamii yote ya kimataifa haitambui Jerusalem…

Tanzania kuitumia Israel kutatua mgogoro wa Palestina

Tanzania kuitumia Israel kutatua mgogoro wa Palestina

Haya yalikuwa ni maoni na mawazo ya mmoja wa Wanasiasa wa Tanzania kuhusu Palestina na Israel.   Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Damas Ndumbaro amesema Tanzania haitaitenga Israel katika mchakato wa kusaka amani katika mgogoro wake na Palestina. Hivi karibuni Balozi wa Palestina nchini Tanzania,…

Kukiri wataalamu wa Kizayuni kuwa uwezo wa nyuklia wa Iran hauwezi kuharibiwa kijeshi

Kukiri wataalamu wa Kizayuni kuwa uwezo wa nyuklia wa Iran hauwezi kuharibiwa kijeshi

Katika kujibu maneno ya Dakta Kamal Kharrazi Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Iran na Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Sera za Kigeni la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mkuu wa Majeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel amezungumzia kile amekitaja kuwa tishio la Iran na chaguo la kijeshi na kusema chaguo…

Watanzania waitwa kutafiti mgogoro wa Israel, Palestina

Watanzania waitwa kutafiti mgogoro wa Israel, Palestina

Haya ni maneno ya Balozi  wa Palestina nchini Tanzania  alipowaita Watanzania kutafiti mgogoro wa Israel, Palestina. Dar es Salaam. Ubalozi wa Palestina nchini umewakaribisha Watanzania kufanya tafiti zaidi kuhusu mgogoro wa Mashariki ya Kati ili kujua ukweli wa historia kati ya Israel na Palestina. Wito huo umetolewa na balozi wa Palestina nchini, Hamdi Mansour AbuAli…

Hizbullah yatoa msimamo kwa hatua ya Saudia kuifungulia Israel anga yake

Hizbullah yatoa msimamo kwa hatua ya Saudia kuifungulia Israel anga yake

Hizbullah ya Lebanon imesema, hatua ya Saudi Arabia ya kuufungulia utawala haramu wa Kizayuni wa Israel mipaka ya anga yake ni sawa na kuwa mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala huo na ni usaliti kwa umma wa Kiislamu. Siku ya Alkhamisi iliyopita, utawala wa Kizayuni ulipitisha vipengele viwili vya makubaliano yanayohusiana na visiwa viwili vya…

UN iishinikize Israel isitishe mauaji ya kiholela ya raia Wapalestina

UN iishinikize Israel isitishe mauaji ya kiholela ya raia Wapalestina

Kundi moja la kutetea haki za binadamu limeutaka Umoja wa Mataifa kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe sera za kutumia mabavu ambayo hupelekea idadi kubwa ya Wapalestina kupoteza maisha. Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Med Monitor limemtumia barua Morris Tidball-Binz, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji nje ya mkondo wa…

Iran: Israel ndio mzizi wa ugaidi na ukosefu wa usalama Asia Magharibi

Iran: Israel ndio mzizi wa ugaidi na ukosefu wa usalama Asia Magharibi

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio chimbuko la vitendo vya kigaidi na ukosefu wa usalama na uthabiti katika eneo hili la Asia Magharibi. Naser Kan’ani alisema hayo jana Jumanne na kuongeza kuwa, hatua ya Marekani kuukingia kifua na kuunga mkono utawala…