#israel

Raisi: Uwepo wa utawala wa Kizayuni unadhoofisha usalama wa eneo

Raisi: Uwepo wa utawala wa Kizayuni unadhoofisha usalama wa eneo

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaibua taharuki na kudhoofisha usalama wa eneo hili la Asia Magharibi. Rais wa Iran, Sayyid Ebrahim Raisi alisema hayo jana Jumatano katika kikao na mwenzake wa Azerbaijan, Ilham Aliyev, pambizoni mwa Mkutano wa 6 wa Nchi Zinazopakana na Bahari ya Kaspi huko Ashgabat,…

Indhari ya Waziri wa Usalama wa Iran: Magaidi hawatabakia salama

Indhari ya Waziri wa Usalama wa Iran: Magaidi hawatabakia salama

Waziri wa Usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema magaidi wenye makao yao Albania hawatabakia salama kutokana na moto wa ulipizaji kisasi wa jinai walizotenda. Kundi la kigaidi la Munafikina (MKO) limehusika katika mauaji ya Wairani zaidi ya elfu 17, wakiwemo wabunge, maafisa wa ngazi za juu wa kiserikali na kijeshi, raia wa kawaida…

Onyo la Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran kwa Israel

Onyo la Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran kwa Israel

Kamanda mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuchukua hatua yoyote ya kichokozi katika eneo la Asia Magharibi na kusisitiza kuwa, sera ya Israel ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na chokochoko zozote za utawala huo katika eneo zitakabiliwa na…

Ripoti: Wazayuni wamewaua shahidi watoto 15 wa Kipalestina

Ripoti: Wazayuni wamewaua shahidi watoto 15 wa Kipalestina

Ripoti mpya ya shirika moja la kutetea haki za watoto imesema askari makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi watoto 15 wa Palestina. Shirika hilo la kimataifa la Defense for Children International tawi la Palestina (DCI-P) lenye makao yake mjini Geneva limesema, mbali na watoto 15 wa Kipalestina kuuawa na wanajeshi wa…

Sherehe za kuanzishwa kwa utawala wakimabavu mjini Abu Dhabi zaashiria kudhoofika kwa watawala wa UAE.

Sherehe za kuanzishwa kwa utawala wakimabavu mjini Abu Dhabi zaashiria kudhoofika kwa watawala wa UAE.

Chama cha People’s Front for the Liberation of Palestina kimeelezea sherehe za kumbukumbu ya kuasisiwa utawala huo ghasibu katika ubalozi wake mjini Abu Dhabi kuwa ni ishara ya kudorora na kudhalilika kwa watawala wa Imarati. Kwa mujibu wa Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, Chama cha People’s Front for the Liberation of…

VITA VYA SIKU SITA: Marekani yakumbana na Urusi vita vya Israel

VITA VYA SIKU SITA: Marekani yakumbana na Urusi vita vya Israel

Katika toleo lililopita tulisimulia jinsi Serikali ya Marekani ilivyopata habari kuwa vita imezuka katika Mashariki ya Kati ikiwahusisha Israel na baadhi ya mataifa ya Kiarabu, ilianza kufuatilia kwa karibu kila habari iliyotoka Mashariki ya Kati. Waliokutana kujadili kwa kina vita hivyo ni Rais wa Marekani, Lyndon Johnson (1963–1969); mshauri wake wa masuala ya usalama, Walt…