#israel

Nchi 14 za Kiarabu zinapinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel

Nchi 14 za Kiarabu zinapinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel

Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa katika nchi 14 za Kiarabu yanaonesha kuwa, akthari ya watu wa nchi hizo wanapinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Mwaka 2020, nchi nne za Kiarabu za Muungano wa Falme za Kiarabu Imarati, Bahrain, Sudan na Morocco, bila kujali jinai za utawala haramu wa…

Baraza la Usalama la UN lashindwa kuchukua hatua baada ya waziri wa Israel kuvamia al-Aqsa

Baraza la Usalama la UN lashindwa kuchukua hatua baada ya waziri wa Israel kuvamia al-Aqsa

Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamesisitiza ulazima wa kudumisha hali ya miongo kadhaa iliyopita katika eneo la Msikiti wa al-Aqsa katika Mji Mkongwe wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na Israel baada ya waziri mmoja wa Israel kulivunjia heshima eneo hilo takatifu. Tamko hilo la Baraza la Usalama  limekuja kwa kuchelewa…

Hisia na misimamo ya nchi za Kiarabu kwa uamuzi wa serikali ya Netanyahu wa kupanua vitongoji haramu vya wazayuni

Hisia na misimamo ya nchi za Kiarabu kwa uamuzi wa serikali ya Netanyahu wa kupanua vitongoji haramu vya wazayuni

Kufuatia uamuzi uliotangazwa na waziri mkuu mpya wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu kwamba serikali yake itaendeleza ujenzi haramu wa vitongoji, baadhi ya nchi za Kiarabu zimelaani uamuzi huo na kuipa indhari Tel Aviv kuhusiana na madhara ya hatua hiyo. Katika kikao cha bunge la utawala haramu wa Israel cha kulipigia baraza…

Jihad al Islami: Hatutetereshwi na serikali mpya ya kifashisti ya Israel

Jihad al Islami: Hatutetereshwi na serikali mpya ya kifashisti ya Israel

Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesema kuwa, harakati hiyo itaendeleza mapambano yake katika mwaka huu mpya wa 2023 hadi itakapokomboa kila shibri ya ardhi za Palestina na haitetereshwi hata kidogo na serikali mpya ya kifashisti na yenye misimamo mikali kupindukia ya utawala wa Kizayuni wa Israel. Hayo yameripotiwa na tovuti ya…

Jenerali wa Kizayuni akiri kuwa mkakati wa Israel dhidi ya Iran umegonga mwamba

Jenerali wa Kizayuni akiri kuwa mkakati wa Israel dhidi ya Iran umegonga mwamba

Mkuu wa zamani wa idara ya intelijensia ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa mkakati wa Tel Aviv dhidi ya Iran wa kutegemea vikwazo vikali vya kiuchumi na kuanzisha mpango wa kuzuia hujuma kupitia Marekani umeshindwa. Meja Jenerali Tamir Hyman, mkuu wa zamani wa idara ya intelijensia ya jeshi la utawala wa Kizayuni…

Netanyahu: Azimio la UN dhidi ya Israel halina umuhimu, linakirihisha

Netanyahu: Azimio la UN dhidi ya Israel halina umuhimu, linakirihisha

Waziri Mkuu wa Israel amesema azimio jipya lililopitishwa dhidi ya utawala huo haramu katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa halina maana wala umuhimu wowote. Benjamin Netanyahu alisema hayo jana Jumamosi na kueleza kuwa, hatua ya Baraza Kuu la UN ya kupiga kura dhidi ya utawala huo wa Kizayuni inachukiza na kukirihisha. Netanyahu ambaye karibuni alipata…

Kuanza kazi baraza la mawaziri la sita la Netanyahu katika mazingira ya mivutano katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu

Kuanza kazi baraza la mawaziri la sita la Netanyahu katika mazingira ya mivutano katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu

Benjamini Netanyahu amepata kura ya kuwa na imani naye kwenye Knesset, bunge la utawala haramu wa Israel, na hivyo kupata fursa nyingine ya kuongoza baraza la mawaziri la utawala huo. Netanyahu ameweza kupata kura chanya 63 kati ya wabunge 120 wa Knesset ambapo yeye na washirika wake waliweza kushinda viti 64 katika uchaguzi wa Knesset…

Israel yakiri kuwa wazayuni 29 wameangamizwa katika mwaka unaomalizika wa 2022

Israel yakiri kuwa wazayuni 29 wameangamizwa katika mwaka unaomalizika wa 2022

Idara ya usalama wa ndani ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Shabak imekiri kuwa, Wazayuni 29 waliuawa katika operesheni za mashambulizi zilizofanywa na Wapalestina katika mwaka huu unaomalizika wa 2022. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Shabak, hadi kufikia leo, Wapalestina wametekeleza operesheni 1933, ambapo Wazayuni 29 wameuliwa na wengine 128 wamejeruhiwa, likiwa ni ongezeko…