Ongezeko la utoro na kujiua wanajeshi wa utawala haramu wa Israel
Gazeti la utawala wa Kizayuni wa Israel la Yediot Ahronot limeripoti kuwa, askari 14 wa jeshi la utawala huo wamejiua katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, idadi ambayo ni kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Moja ya tishio muhimu zaidi linaloukabili utawala haramu wa Israel ni katika sekta ya kikosi cha…
Ongezeko la wanajeshi wanaojiua lautia kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel
Gazeti la utawala wa Kizayuni wa Israel la Yediot Ahronot limeripoti kuwa askari 14 wa jeshi la utawala huo wamejiua ndani ya kipindi cha mwaka mmoja tu. Wataalamu wa Kizayuni wameeleza kuwa, ongezeko la idadi ya wanajeshi wa Kizayuni wanaojiua linaashiria ongezeko la mkanganyo wa kiakili na kinafsi miongoni mwa askari hao na kwamba idadi…
Wabahrain waandamana kulalamikia kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Wananchi wa Bahrain wameandamana kulalalamikia na kulaani hatua ya nchi yao ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Maandamano hayo makubwa yaliyofanyika katika mji mkuu Manama yalishuhudia waandamanaji wakiwa wamebeba mabango na maberamu huku wakipiga nara za kuulaani utawala ghasibu wa Israel unaofanywa mauaji kila leo huko Palestina inayokaliwa kkwa mabavu. Waandamanaji…
Imarati na utawala wa Kizayuni zasaini makubaliano makubwa ya kiuchumi
Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) umetiliana saini na utawala dhalimu na pandikizi wa Kizayuni, makubaliano makubwa na pande zote ya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na kupunguza ushuru wa bidhaa. Kwa mujibu wa televisheni ya “Rusia al Yaum,” Abdullah bin Zayed, Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati na Michal Herzog, mke wa rais wa utawala wa…
HAMAS: Jamii ya Kimataifa iachane na sera ya kuuma na kupuliza kuhusu jinai za Israel
Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa sera za kuuma na kupuliza za jamii ya kimataifa kuhusiana na jinai za kila siku zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa. Khalil al-Hayya, mkuu wa kitengo cha mahusiano na nchi za Kiarabu na Kiislamu katika harakati ya Hamas amebainisha ukosoaji…
UN: Wapalestina 19 wameuawa na wanajeshi wa Israel tangu Novemba 22
Umoja wa Mataifa unasema mwaka 2022 unasalia kuwa mwaka mbaya zaidi kwa Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi tangu 2005, huku katika kipindi cha mwezi mmoja Wapalestina 19 wakiuawa shahidi katika mashambulizi ya wanajeshi wa utawala haramu wa Israel katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo. Ripoti ya kila wiki ya Ulinzi wa Raia iliyochapishwa…
Afrika Kusini yapinga Israel kujiunga na Umoja wa Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa wa Afrika Kusini amesema kujiunga utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Afrika ni sawa na tusi kwa moyo wa hati ya umoja huo. Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la IRNA siku ya Jumamosi, Naledi Pandor, Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini alisema, “Tunashuhudia…
Israel kushirikiana na nchi tatu za Kiarabu katika kuunda “Mtambo wa Kuba la Chuma la Mtandao”
Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na nchi tatu za Kiarabu za Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE), Bahrain na Morocco, zinapanga kuzindua mradi wa ulinzi wa anga unaoitwa Mtambo wa Kuba la Chuma la Mtandao, (Cyber Iron Dome). Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetangaza kuwa maafisa wa utawala haramu wa Israel wamekutana na kufanya mazungumzo na…