#israel

Baraza Kuu la UN lalaani tena uvamizi wa Israel huko Golan na Palestina

Baraza Kuu la UN lalaani tena uvamizi wa Israel huko Golan na Palestina

Kwa mara nyingine tena Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio likisisitiza kuwa eneo la Golan linalokaliwa kwa mabavu na Israel ni milki ya Syria, na kwamba Wapalestina ndio wamiliki wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio hilo la kila mwaka kwa kura…

Juhudi za Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa za kutokomeza silaha za nyuklia za Israel

Juhudi za Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa za kutokomeza silaha za nyuklia za Israel

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeanza kuchukua hatua kwa lengo la kutokomeza silaha za atomiki za utawala haramu wa Israel baada ya nchi 149 wanachama wa umoja huo kuunga mkono azimio linaloutaka utawala huo wa Kizayuni “uache kufuatilia uzalishaji, uundaji, majaribio au kutaka kuwa na silaha za nyuklia” na “kuachana na mpango wa kumiliki…

Azimio la UN: Israel iachane na silaha za nyuklia, ijiunge na NPT

Azimio la UN: Israel iachane na silaha za nyuklia, ijiunge na NPT

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeunga mkono kwa wingi mkubwa mno wa kura azimio la kuutaka utawala haramu wa Kizayuni wa Israel uachane na silaha zake za nyuklia na kujiunga na Mkataba wa Kuzuia Uundaji na Uenezaji Silaha za Nyuklia (NPT). Katika mkutano wa Baraza Kuu la UN, nchi 149 wanachama wa Umoja wa Mataifa…

Ya’alon : Baraza la mawaziri la Netanyahu ni baraza la mawaziri mtenda jinai

Ya’alon : Baraza la mawaziri la Netanyahu ni baraza la mawaziri mtenda jinai

Waziri wa zamani wa ulinzi wa Israel ameashiria baraza la mawaziri linaloundwa na Benjamin Netanyahu na kusisitiza kuwa linaonekama kuwa ni baraza la vita. Waziri wa zamani wa vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel, Moshe Ya’alon, amesisitiza kwamba Israel iko katika hali ya mparaganyiko na utata. Ya’alon ameongeza kuwa waziri ajaye wa usalama wa…

Njama ya UAE yazimwa na “kampeni ya kufelisha uanzishaji uhusiano na Israel”

Njama ya UAE yazimwa na “kampeni ya kufelisha uanzishaji uhusiano na Israel”

Kuzinduliwa kampeni kwenye mitandao ya kijamii yenye alama ya hashtag “Kufeli Uanzishaji Uhusiano na Israel Katika Kombe la Dunia Qatar” kumekaribishwa kwa wingi na wanaharakati wa Muungano wa Falme za Kiarabu, Imarati na nchi zingine za Kiarabu ambao wote wamesisitiza kwa kauli moja kwamba, Kombe la Dunia la Soka nchini Qatar limefichua na kuzima njama…

Kuwait ni jinai mpango wowote wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel

Kuwait ni jinai mpango wowote wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel

Bunge la Kuwait kwa mara nyingine limechukua hatua inayoashiria msimamo usiotetereka wa nchi hiyo kuhusiana na Palestina, na sasa linaandaa mpango wa kisheria wa kufanya kuwa jinai mpango wowote wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Abdullah Al-Mousawi, mtafiti wa masuala ya Palestina amenukuliwa na shirika la habari la Iran Press akisema…

Kuongezeka watoto wa Kipalestina katika magereza ya Israel

Kuongezeka watoto wa Kipalestina katika magereza ya Israel

Wizara ya Mateka na Wafungwa wa Kipalestina Walioachiliwa Huru kutoka gerezani imetangaza kuwa, hivi sasa kuna watoto 170 wa Kipalestina katika magereza ya Israel huku watano kati yao wakishikiliwa pasi na kuelezwa tuhuma na makosa yao. Takwimu mbalimbali zinaonesha kuwa, katika hali ya wastani watoto na mabarobaro zaidi ya 1000 wa Kipalestina hutiwa mbaroni kila…

Kombe la Dunia; Vijana wa Kiarabu wakataa kuzungumza na wanahabari wa Israel

Kombe la Dunia; Vijana wa Kiarabu wakataa kuzungumza na wanahabari wa Israel

Mashabiki wa soka wa nchi za Kiarabu wamekataa kuzungumza na waandishi wa habari wa masharika ya utawala haramu wa Israel nchini Qatar, kunakofanyika fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu 2022; kuonyesha upinzani wao wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala huo bandia unaokaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina. Vyombo vya habari vya Israel…