
Makampuni ya Oman na Kuwait yajiondoa kwenye maonyesho ya Bahrain kuisusia Israel
Shirika la ndege la bei nafuu la Oman na Benki ya Kiislamu ya Kuwait zimeamua kujiondoa katika maonyesho yajayo ya Kimataifa ya Anga ya Bahrain (BIAS) baada ya kubaini wajumbe kutoka makampuni ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel watashiriki katika maonyesho hayo, ikiwa ni hatua ya kuonyesha mshikamano na uungaji mkono kwa Palestina. SalamAir,…

Iran yakosoa misimamo ya Baraza la Usalama la UN kuhusu uhalifu wa Israel
Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelikosoa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa: Mwelekeo wa sasa na usio na tija wa Baraza la Usalama la Uumoja huo unaupa moyo na kuuhamasisha utawala wa Kizayuni katika kadhia ya Palestina. Amir Saeed Iravani amesema katika kikao cha Baraza la…

Kundi la ‘Arin al Usud laapa kuendelea na muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Kundi la mapambano ya Kiislamu la ‘Arin al Usud (Pango la Simba) linaloendesha mapambano yake katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina limesisitiza kuwa, watu wanaodhani kuwa muqawama umeshindwa, wanajidanganya. Kundi la muqawama wa Kiislamu la ‘Arin al Usud lilitangaza uwepo wake mwezi Aprili mwaka huu na kuyataka makundi mengine ya Palestina yaliunge…

Kushamiri kuwepo kijeshi Wazayuni kusini mwa Yemen; njama iliyoandaliwa na Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE)
Wakati hali ya mchafukoge wa kisiasa kusini mwa Yemen ikiwa imefikia kiwango cha juu huku serikali tegemezi na kibaraka iliyoko huko ikiwa haina mamlaka yoyote ya uendeshaji wa mambo yake, katika njama iliyoratibiwa na Muungano wa Falme za Kiarabu Imarati, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeshamirisha kuwepo kwake kijeshi katika eneo hilo la kusini…

Hamas: Risasi za wanamapambano wa Palestina ni jibu kwa vitendo kwa jinai za Israel
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imesema kuwa, risasi zilizopigwa na wapiganaji ukombozi wa Palestina katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na makazi haramu ya walowezi katika eneo la kusini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni jibu la kivitendo kwa jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina. Msemaji…

Kuzingirwa Nablus, ishara ya utawala wa Kizayuni kushindwa kuzima mapambano ya Palestina
Katika kuendeleza harakati zao za chuki dhidi ya Wapalestina, askari wa utawala haramu wa Israel wamekuwa wakiuzingira kwa muda sasa mji wa Nablus, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wa mji huo. Siku 17 zimepita tangu kuzingirwa mji huo na askari wa utawala unaokaliwa kwa mabavu mji…

Iran: Uungaji mkono wa Magharibi kwa Israel ni mfano mkubwa zaidi wa ukiukaji wa haki za binadamu
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani shambulio la utawala ghasibu wa Israel katika mji wa Nablus katika Ukingo wa Magharibi huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, na kuutaja uungaji mkono usio na kikomo wa Marekani na nchi nyingine za Magharibi kwa utawala dhalimu wa Israel kuwa ni kielelezo kikubwa zaidi cha ukiukwaji…

Syria: Tunataka uanzishwe mfumo mpya wa kimataifa, jinai za Israel zidhibitiwe
Kwa mnasaba wa Siku ya Umoja wa Mataifa, Serikali ya Syria imetoa wito na kusisitiza ulazima wa kuundwa mfumo mpya wa kimataifa na kuzuiwa uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel na jinai zinazofanywa na utawala huo haramu. Kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha Al-Akhbariya; Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetoa taarifa…