#israel

Syria: Tutatumia haki yetu ya kisheria kujibu jinai za utawala haramu wa Israel

Syria: Tutatumia haki yetu ya kisheria kujibu jinai za utawala haramu wa Israel

Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imetangaza kuwa, mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Halab ni jinai za kivita na kwamba, Damascus itatumia haki yake ya kisheria kwa ajili ya kujibu jinai za utawala huo. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imeeleza kwamba, mashambulio…

Kuendelea mwenendo wa Uturuki wa kufufua uhusiano wake na Israel

Kuendelea mwenendo wa Uturuki wa kufufua uhusiano wake na Israel

Baada ya miaka 15, sasa ndege za utawala haramu wa Israel zinaweza kufanya safari nchini Uturuki. Yair Lapid, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ametangaza habari ya kupasishwa hati ya makubaliano ya mahusiano ya safari za ndege baina ya Uturuki na utawala huo. Amesema hayo katika kikao cha hivi karibuni cha Baraza la Mawaziri…

Kamanda wa Majeshi ya Iran aonya jeshi la kigaidi la Marekani na Israel

Kamanda wa Majeshi ya Iran aonya jeshi la kigaidi la Marekani na Israel

Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri ametoa onyo kali na kusema ushirikiano wa jeshi la kigaidi la Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel pamoja na waitifaki wao waliowapa vituo vya kijeshi ni tishio kwa usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Katika ujumbe, Meja Jenerali…

Wanajeshi wa Israel wamuua kijana Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi

Wanajeshi wa Israel wamuua kijana Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi

Vikosi vya kijeshi vya utawala ghasibu wa Israel vimempiga risasi na kumuua shahidi kijana mwingine wa Kipalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo siku ya Jumatatu. Mpalestina huyo aliyekuwa na umri wa miaka 19 alipigwa risasi na kuuawa na jeshi la Israel wakati wa uvamizi mapema Jumatatu huko Qabatiya, kusini mwa…

Mkuu wa zamani wa jeshi la Kizayuni: Israel haiwezi kuishambulia kijeshi Iran

Mkuu wa zamani wa jeshi la Kizayuni: Israel haiwezi kuishambulia kijeshi Iran

Mkuu wa zamani wa majeshi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Shaul Mofaz amesema, Wairani ni watu werevu sana na wanao uwezo wa kuhakikisha wanapata haki zao za kinyukilia; na akakiri kwa kusema, Tel Aviv haina uwezo wa kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya Tehran. Mofaz ameyasema hayo katika mahojiano na Kanali 12 ya…

Taliban: Hatuna mpango wa kuutambua rasmi utawala haramu wa Israel

Taliban: Hatuna mpango wa kuutambua rasmi utawala haramu wa Israel

Msemaji wa Ofisi ya Kisiasa ya Taliban nchini Qatar amesema kuwa, kundi hilo halina mpango wa kuutambua rasmi utawala haramuu wa Israel. Mulla Muhammad Naeem amekanusha taarifa za baadhi ya vyombo vya habari vinavyoeleza kwamba, kundi la Taliban halina tatizo na nchi yoyote ile ukiwemo utawala ghasibu wa Israel na kubainisha kwamba, amenukuliwa vibaya kwani huo…

Israel imewaua Wapalestina zaidi ya 110 Mwaka huu

Israel imewaua Wapalestina zaidi ya 110 Mwaka huu

Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limeua Wapalestina zaidi ya 110 na kuwajeruhi wengine wengi hadi sasa mwaka huu. Katika  taarifa, Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Palestina, limesema “Hadi sasa mwaka  huu, mashambulizi ya Jeshi la Utawala wa Israel yamewaua Wapalestina 111, watoto 24 na wanawake 8.” Aidha taarifa hiyo imebaini kuwa,…

HAMAS: Vita dhidi ya Israel vitaendelea mpaka mateka wote wa Kipalestina watakapoachiliwa huru

HAMAS: Vita dhidi ya Israel vitaendelea mpaka mateka wote wa Kipalestina watakapoachiliwa huru

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, vita dhidi ya utawala haramu wa Israel vitaendelea mpaka pale mateka wote wa Kipalestina wanaoshikiliwa na utawala huo ghasibu watakapoachiliwa huru. Hayo yameelezwa na Zaher Jabarin, afisa wa Hamas anayeshughulikia faili la mashahidi na mateka wa Palestina na kueleza kwamba, harakati hiyo haitapata utulivu na…