
Makamu wa Rais wa Iran: Marekani na Ulaya hazina njia nyingine ghairi ya kukubali JCPOA
Makamu wa Rais wa Iran anayehusika na masuala ya uchumi amesema, vikwazo na mashinikizo ndiyo silaha ya mwisho kabisa ya Marekani na Ulaya na akaeleza kwamba katika hali ya sasa wao hawana njia nyingine isipokuwa kuyakubali mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Mohsen Rezaee aliyasema hayo hapo jana alipohutubia kabla ya Sala ya Ijumaa ya mjini…

Borrell: Lengo la mazungumzo ya Doha ni kuhuisha utekelezaji wa mapatano ya JCPOA
Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) ameandika katika ujumbe wake wa twiter kwamba lengo la mazungumzo ya Doha ni kuanza kufanya kazi mapatano ya JCPOA. Baada ya mazungumzo ya Vienna kusita kwa miezi kadhaa; mazungumzo hayo kwa mara nyingine tena yalianza jana Jumanne huko Doha mji mkuu wa Qatar kwa kuhudhuriwa…

Mazungumzo ya kufufua JCPOA kufanyika katika Ghuba ya Uajemi
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran amesema duru ijayo ya mazungumzo ya kujaribu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA itafanyika katika moja ya nchi za eneo hili la Asia Magharibi. Katika mkutano wa kila wiki na waandishi wa habari hii leo, Saeed Khatibzadeh amebainisha kuwa, “Mungu Akipenda, moja ya nchi za Ghuba ya…

Hatua na jumbe za kindumakuwili za Marekani kuhusiana na JCPOA na Iran
Moja ya zilizokuwa nara na madai muhimu ya Marekani wakati Rais Joe Biden alipoingia madarakani ni kuirejesha Washington katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA). Pamoja na hayo na licha ya kupita takribani miaka miwili na nusu tangu kutolewa ahadi hizo, utendaji wa serikali ya Marekani wenye mgongano katika…

Iran yaikashifu WSJ ya U.S kwa kuchapisha makala yasiyoridhisha
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelikosoa vikali gazeti la Kimarekani la Wall Street Journal kwa kuchapisha makala ya kipumbavu na ya kihasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, wakati huu wa kuendelea kufanyika mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Iran huko Vienna. Taarifa ya Ubalozi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imesema kuwa, hatua ya gazeti…

Baqeri Kani: Hatua kadhaa katika suala la uondoaji vikwazo
Ali Bagheri Kani, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ambaye ni kiongozi wa ujumbe wa Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA amesema; kutokana na mazungumzo ya karibuni mjini Vienna, zimepigwa hatua nzuri katika suala la uondoaji vikwazo. Bw. Kani katika mazungumzo ya Vienna amesema kuwa; katika kipindi…

Kuondolewa vikwazo Iran; siri ya mafanikio ya mazungumzo ya Vienna
Mazungumzo ya nyuklia ya Iran na kundi la 4+1 linaloundwa na mataifa ya Russia, China, Uingereza, Ufaransa pamoja Ujerumani yaliendelea tena leo huko Vienna Austria maudhui kuu ikiwa ni suala la kuondolewa vikwazo na kutilia mkazo mapendekezo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu masuala mawili muhimu, yaani uhakika kwamba vikwazo vimeondolewa na dhamana yake….