#jerusalem

Tanzania inaathirikaje Jerusalem ukiwa mji mkuu Israel

Tanzania inaathirikaje Jerusalem ukiwa mji mkuu Israel

Huu ni uchambuzi uliotolewa na mchambuzi wa Gazeti Mwananchi kuhusu  kuhamishwa ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem akisema: Hivi karibuni Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel na kwamba ubalozi wake utahamishwa kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem. Akitetea uamuzi huo, Trump alisema ulishapitishwa na Baraza la Congress…

Maandamano ya Siku ya Quds Duniani yafanyika mjini Tehran yakihudhuriwa na watu mbali mbali wenye matabaka tofauti kutoka kote nchini.

Maandamano ya Siku ya Quds Duniani yafanyika mjini Tehran yakihudhuriwa na watu mbali mbali wenye matabaka tofauti kutoka kote nchini.

Kwa mujibu wa ripoti hii, mwaka huu, baada ya mapumziko ya miaka miwili ya kufanya maandamano ya hadhara ya Siku ya Quds Duniani kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona, uratibu wa kimsingi ulifanyika ili kuandaa maandamano makubwa yatakayofanyika kwa wakati mmoja sawia na maandamano ya mji wa Tehran, katika zaidi ya miji 900. Maandamano…

Siku ya Kimataifa ya Quds na matukio mapya ya kistratijia katika uwanja wa Palestina

Siku ya Kimataifa ya Quds na matukio mapya ya kistratijia katika uwanja wa Palestina

Kama dalili zinavyoonyesha, mwaka huu Wapalestina wataadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds kwa msisimko na shauku maalumu. Huenda ni msisimuko na shauku hiyo ndiyo inayapa maadhimisho ya mwaka huu ya Siku ya Kimataifa ya Quds sifa maalumu na ya kipekee. Inaonekana kuna mambo kadhaa ambayo yameibua msisimko katika uwanja huo. La kwanza ni kuwa katika…

Wapalestina 190 watiwa mbaroni na askari wa Israel ndani ya muda wa mwezi mmoja

Wapalestina 190 watiwa mbaroni na askari wa Israel ndani ya muda wa mwezi mmoja

Jumuiya ya Ulaya ya kutetea na kuunga mkono Quds tukufu (Jerusalem) imetangaza kuwa katika kipindi cha mwezi mmoja, askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamevamia mji huo wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu na kuwatia nguvuni Wapalestina zaidi ya 190 wakazi wa mji huo. Hujuma na mashambulio ya askari wa utawala wa Kizayuni…