#Kanada

Kanada imezilipa fidia jamii za kiasili kwa sababu haikuwa na budi ila kufanya hivyo

Kanada imezilipa fidia jamii za kiasili kwa sababu haikuwa na budi ila kufanya hivyo

Serikali ya Kanada imeafiki kulipa fidia ya dola bilioni 2.1 kwa waathiriwa wa jamii za kiasili ambao walikabiliwa na mateso katika shule za bweni kwa takriban karne moja. Fidia hiyo iliamuliwa kufuatia malalamiko ya makundi 325 ya wenyeji wa Kanada na fedha hizo zitawekwa katika mfuko maalumu. Fidia hiyo itatumika kwa ajili ya jamii za…

Waislamu Kanada wasaidia wasio na makao msimu wa baridi kali

Waislamu Kanada wasaidia wasio na makao msimu wa baridi kali

TEHRAN (IQNA) – Wanachama wa Taasisi ya Misaada ya Kiislamu Kanada wametayarisha mamia ya vifurishi vya misaada maalumu ya majira ya baridi kali kwa ajili ya watu wasio na makazi wa Metro Vancouver siku ya Jumamosi. Ufadhili huo unakuja wakati muhimu, kwani idara ya utabiri wa hali ya hewa Kanada imetabiri kuwa halijoto inaweza kushuka…

Kanada na Uingereza zilishirikiana kusafirisha wasichana kujiunga na magaidi wa Daesh

Kanada na Uingereza zilishirikiana kusafirisha wasichana kujiunga na magaidi wa Daesh

Idara ya ujasusi ya Kanada ilihusika katika kutuma wasichana kwenda kujiunga na kundi la kigaidi la Daesh au ISIS na serikali ya Uingereza ilijua nafasi ya Kanada katika kashfaa hiyo lakini ikajizuia kuifichua. Hayo yamefichuliwa na mwandishi ambaye anaeleza kuhusu kisa cha Shamima Begum, raia wa zamani wa Uingereza ambaye alijiunga na ISIS mwaka 2015 akiwa na…