#Karbala

Wafanyaziara milioni 24 washiriki matembezi Arbaeen ya Imam Hussein AS huko Karbala, Iraq

Wafanyaziara milioni 24 washiriki matembezi Arbaeen ya Imam Hussein AS huko Karbala, Iraq

Wafanyaziara milioni 24 wamekusanyika katika mji wa Karbala wa Iraq kuadhimisha Arbaeen, tukio la kila mwaka ambalo linaadhimisha siku ya 40 baada ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (AS), Imam wa tatu wa madhehebu ya Shia. Mjumuiko wa Arbaeen huko Karbala Iraq, umetajwa kuwa mjumuiko mkubwa zaidi wa kidini ulimwenguni, unaowaleta pamoja mamilioni ya…