#kenya

William Ruto aapishwa kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Kenya

William Ruto aapishwa kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Kenya

William Samoei Ruto ameapishwa kuwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya (KDF). Rais William Ruto amekula kiapo cha kulitumikia taifa leo Jumanne katika hafla zilizofanyika katika Uwanja wa Kimataifa wa Kasarani jijini Nairobi. Watu zaidi ya 60,000 wameruhusiwa kuingia katika uwanja huo kushuhudia historia mpya…

Wakuu wa nchi 20 wanatarajiwa kushiriki sherehe za kuapishwa rais mteule William Ruto nchini Kenya

Wakuu wa nchi 20 wanatarajiwa kushiriki sherehe za kuapishwa rais mteule William Ruto nchini Kenya

Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Kenya, Karanja Kibicho amesema kuwa, takriban Wakuu wa Nchi 20 wanatarajiwa kuwasili nchini Kenya kushiriki katika sherehe za kuapishwa Rais mteule William Ruto kesho Jumanne. Kibicho alitoa tangazo hilo Jumamosi wakati Kamati ya Makabidhiano ya Madaraka ilipotembelea Uwanja wa Kasarani katika mji mkuu, Nairobi, ambapo ndipo…

Baada ya kuthibitishwa ushindi wa Ruto, sasa wabunge na maseneta Kenya kukutana Septemba 8

Baada ya kuthibitishwa ushindi wa Ruto, sasa wabunge na maseneta Kenya kukutana Septemba 8

Wabunge na maseneta wateule nchini Kenya wanatarajiwa kufanya vikao vyao vya kwanza kabisa siku ya Alkhamisi ya wiki hii, Septemba 8, 2022 siku chache baada ya Mahakama ya Juu ya nchi hiyo kutupilia mbali mashitaka ya mgombea urais Raila Odinga na kudhibitisha ushindi wa Dk William Ruto kama ulivyotangazwa na tume ya uchaguzi ya IEBC….

Mahakama ya Juu Kenya yatupilia mbali kesi ya Odinga, yabariki ushindi wa Ruto

Mahakama ya Juu Kenya yatupilia mbali kesi ya Odinga, yabariki ushindi wa Ruto

Mahakama ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na mgombea wa urais wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022. Mgombea kiti cha urais kwa tiketi ya Muungano wa Azimo One Kenya Raila Odinga aliitaka Mahakama ya Juu ya Kenya kutupilia mbali ushindi wa William…

Mahakama ya Upeo Kenya yaanza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais

Mahakama ya Upeo Kenya yaanza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais

Mahakama ya Upeo Kenya leo inaanza kusikiliza kesi ya kupinga kutangazwa kwa William Ruto kuwa Rais Mteule. Pande husika zimetoa madai ya kila aina na hivyo majaji saba wa mahakama hiyo ya kilele watakuwa na kibarua kigumu kutofautisha kati ya ukweli, porojo na uongo ili kuamua kesi hiyo kwa haki bila ushawishi wowote kutoka nje….

Majaji wa Afrika wawasili Kenya kufuatilia kesi ya uchaguzi wa rais

Majaji wa Afrika wawasili Kenya kufuatilia kesi ya uchaguzi wa rais

Wanachama wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika wamewasili jijini Nairobi, kufuatilia shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) hivi karibuni. Timu hiyo inaongozwa na Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, Mohammed Chande Othman. Wengine katika timu hiyo ya uangalizi wa kesi hiyo…

Wakenya waishitaki Uingereza kwa jinai za enzi za ukoloni

Wakenya waishitaki Uingereza kwa jinai za enzi za ukoloni

Kundi la raia wa Kenya limeifungulia mashitaka serikali ya Uingereza katika Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya, likitaka iwajibishwe kwa jinai ilizotenda dhidi ya wananchi wa Kenya enzi za ukoloni. Katika faili hilo, Wakenya hao wamesema mababu zao waliteswa na kukandamizwa na wakoloni Waingereza, mbali na kufukuzwa kwenye ardhi zao. Wakili Joel Kimutai Bosek anayeliwakilisha…

Odinga aenda mahakamani kupinga matokeo ya urais Kenya

Odinga aenda mahakamani kupinga matokeo ya urais Kenya

Mgombea urais wa Kenya kwa tiketi ya chama cha Muungano wa Azimio la Umoja wa One Kenya, Raila Odinga amewasilisha mahakamani shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC hivi karibuni. Odinga ameongozana na mgombea mwenza, Martha Karua, na vigogo wengine wa muungano huo akiwemo Kalonzo…