
Matokeo ya utafiti yambeba Raila Odinga, Ruto amfuatia
Nairobi. Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu nchini Kenya, matokeo ya utafiti wa Ipsos na Infotrak yameonyesha mgombea kupitia Azimio la Umoja, Raila Odinga ataongoza dhidi ya mshindani wake wa karibu, Naibu Rais William Ruto wa Kenya Kwanza. Matokeo ya Ipsos yanaonyesha kuwa Odinga ataongoza kwa asilimia 47 dhidi ya asilimia 41…

Mabilioni yanavyoteketea kwenye kampeni za Kenya
Nairobi/Kenya. Wanasiasa wanazidi kumwaga mabilioni ya fedha katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, huku mamilioni ya wapigakura wakihangaika kutokana na makali ya njaa na bei za juu za bidhaa, Gazeti la Taifa Leo linaripoti. Hali ikiwa hivyo, kumeripotiwa idadi ya watu ambao wanahitaji chakula kwa dharura inaongezeka kila uchao nchini humo, hasa katika maeneo…

Viongozi wa Kenya Kwanza wadai Bandari Zote Nchini Zimeuziwa Dubai
FARAAN: Muungano wa Kenya Kwanza unaoongozwa na Naibu wa Rais William Ruto sasa unadai Serikali inapanga kukabidhi bandari tatu za Kenya kwa kampuni ya Uarabuni. Kwenye taarifa iliyosomwa na Kinara wa Amani National Congress (ANC), Musalia Mudavadi, viongozi wa Kenya Kwanza walisema usimamizi wa bandari za Mombasa, Lamu na Kisumu umepeanwa kwa kampuni kutoka Milki…

Umoja wa Afrika watuma waangalizi wa uchaguzi nchini Kenya
Umoja wa Afrika (AU) umetuma waangalizi kufuatilia uchaguzi mkuu wa Agosti 9 nchini Kenya ambao umepelekea joto la kisiasa kupanda nchini humo. Taarifa ya Umoja wa Afrika imesema, “Kufuatia mwaliko wa Serikali ya Jamhuri ya Kenya kwa Umoja wa Afrika kuangalia uchaguzi mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, 2022, Tume ya Umoja wa Afrika inatuma…

Nairobi, Kenya; Viongozi Wa EAC Waunda Kikosi Cha Kulinda Amani DRC
FARAAN:MARAIS wa Afrika Mashariki wameidhinisha kuundwa kwa kikosi maalum cha kudumisha amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Katika mkutano uliofanyika katika Ikulu ya Nairobi, marais hao waliagiza kwamba wanajeshi wa kikosi hicho maalum cha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) watumwe kudumisha amani katika taifa hilo linalokumbwa na misukosuko. Wanajeshi hao wanatarajiwa kushirikiana…

Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) chapuuza shahada ya Naibu Rais ‘William Kipchirchir Ruto’ ambayo imeenea mitandaoni
Kwa sasa mgombea huyo ana digrii tatu kutoka kwenye taasisi hiyo. Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) kimejitokeza kufafanua kuwa waraka unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kua ni shahada ya digrii aliyokabidhiwa naibu Rais nchini Kenya Bw. William Ruto ni ghushi. Ukweli ni kwamba naibu rais alijiandikisha kwa Shahada ya Kwanza baada ya kukamilisha masomo…

Uchaguzi kenya unavyotoa somo Tanzania
Kasoro ya Kenya kisiasa mpaka sasa ni ukabila na ukanda. Mathalan, mwaka huu baada ya Wakikuyu kutokuwa na mgombea urais mwenye nafasi ya kushinda, kulitokea ulazima wa mgombea mwenza. Raila Odinga wa Azimio la Umoja One Kenya Coalition na William Ruto, mwenye tiketi ya United Democratic Alliance (UDA), ndio vinara wa mbio za urais na…

Wajackoyah Kuimarisha Biashara Ya Bangi
Faraan; Ingawa mwaniaji kiti cha Urais kwa tikiti ya chama chake cha Roots Party Prof George Wajackoyah ni mgeni katika siasa za humu nchini, amejizolea umaarufu kwa kutoa ahadi zake kwamba atahalalisha matumizi na uuzaji wa bangi au marijuana. Prof Wajackoya anasema mauzo ya bhangi ndio suluhu ya matatizo ya kiuchumi yanayokumba nchi hii. Prof…