
Kingi, Muturi Na Mutua Hatarini Msajili Akikosa Kuwatambua
HATIMA ya Gavana wa Machakos Alfred Mutua, mwenzake wa Kilifi Amason Kingi na Spika wa Bunge ya Kitaifa Justin Muturi kwenye uchaguzi mkuu ujao haijulikani, baada ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa Ann Nderitu, kukataa kutambua vyama vyao kama wanachama wa muungano wa Kenya Kwanza. Watatu hao wamekuwa wakipigia debe azma ya urais ya Naibu…

Mwisho Wa Lami Kwa Sonko Kisiasa
CHAMA cha Wiper kimepata pigo kubwa baada ya Tume ya Uchaguzi (IEBC) kumzima aliyekuwa gavana wa Nairobi, Bw Mike Sonko kuwania kiti hicho katika Kaunti ya Mombasa. Kwenye kikao na wanahabari katika ukumbi wa Bomas of Kenya, Nairobi, Jumamosi, mwenyekiti wa tume hiyo Wafula Chebukati alisema Bw Sonko hajahitimu kuwania kiti chochote cha umma kwa…

Ruto Aidhinishwa Rasmi Na IEBC Kuwania Urais
FARAAN: NAIBU Rais Willam Ruto Jumamosi ameidhinishwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022. Hii ni mara ya kwanza kwa mwanasiasa huyo ambaye alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mbunge wa Eldoret Kaskazini mnamo 1997, kujitosa rasmi katika kinyang’anyiro cha urais nchini. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati…

Iran iko tayari kutuma chanjo ya Corona nchini Kenya
Katika mazungumzo ya simu na waziri mwenza kutoka nchini Kenya, Waziri wa Mambo ya Nje alitangaza utayari wa nchi ya Iran kwenye swala la kutuma msaada wa kibinadamu nchini Kenya, ikiwa ni pamoja na chanjo ya Corona. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa uhusiano na bara la…

Raila amtaja Martha Karua kuwa mgombea mwenza: ‘inawezekana’
Mgombea urais wa Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga hatimaye amemteuwa kiongozi wa Narc-Kenya Martha Karua kuwa mgombea mwenza. Akimtaja kwenye hafla iliyofanyika Jumatatu Raila alisema kwamba Jopo la Azimio la Kuteuwa Mgombea Mwenza lilitoa ripoti na kusema Karua aliibuka bora kwa nafasi hiyo. Jopo hilo pia lilikuwa limewahoji magavana Charity Ngilu…

Rais Suluhu Atangaza Siku Mbili Za Maombolezo Ya Kibaki
RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza siku mbili za maombolezo nchini humo kufuatia kifo cha Rais wa Tatu wa Kenya Mwai Kibaki. Maombolezo hayo ya kitaifa yanaanza leo Ijumaa Aprili 29 hadi Jumamosi 30, 2022. Kwenye taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Rais Alhamisi, Aprili 28, Rais Suluhu aliwaomba Watanzania waungane na Kenya kuomboleza Hayati…

Hatimaye Kibaki Azikwa Karibu Na Kaburi La Mama Lucy
RAIS wa tatu wa Jamhuri ya Kenya, Stanley Emilio Mwai Kibaki alizikwa Jumamosi nyumbani kwake Othaya, Nyeri. Mazishi ya Mzee Kibaki yalihudhuriwa na Rais Uhuru Kenyatta, naibu wake, William Ruto, kiongozi wa ODM, Raila Odinga ambaye alihudumu kama Waziri Mkuu katika serikali ya mseto iliyoongozwa na marehemu, makamu wake, Kalonzo Musyoka, miongoni mwa wanasiasa na…

Ruto aenda kinyume na NCIC, Atoa Wimbo Wa ‘Sipangwingwi’
NAIBU wa Rais, William Ruto amekaidi amri ya Tume ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa (NCIC) baada ya kutoa wimbo ambao ameupa jina ‘Hatupangwingwi’, muda wa saa chache baada ya tume hiyo kulipiga marufuku neno hilo. Siku ya Ijumaa saa tano mchana, Tume ya NCIC iliorodhesha neno hilo kuwa miongoni mwa maneno 23 ambayo yanafaa…