#Kibaha

Wananchi walia na wodi ya wazazi Kibaha

Wananchi walia na wodi ya wazazi Kibaha

Kibaha. Wananchi wa kata ya Mbwawa mjini Kibaha mkoani Pwani wameiomba Serikali kujengea wodi ya wazazi katika zahanati iliyopo katika kata hiyo ili kusaidia kina mama wajawazito. Wamesema kuwa kwa sasa wajawazito wanatembea zaidi ya kilometa 10 kwenda katika kata ya Mlandizi kutokana na zahanati hiyo kuosa wodi ya wazazi hali inayohatarisha maisha yao. Wametoa kero…