#Kikosi_cha_Ulinzi

Kamanda: Usalama wa Iran ni mstari mwekundu wa vikosi vya ulinzi

Kamanda: Usalama wa Iran ni mstari mwekundu wa vikosi vya ulinzi

Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Iran amesema usalama wa taifa hili ni mstari mwekundu wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama vya Jamhuri ya Kiislamu. Brigedia Jenerali Alireza Elhami alisema hayo jana Jumamosi alipotembelea kambi ya Jeshi la Anga la Iran mjini Tabriz, kaskazini magharibi mwa nchi na kuongeza kuwa,…