Mtwara. Meli ya BOSS7 iliyobeba tani 5,623 za Sulphur ya unga leo Ijumaa Juni 24, 2022 imewasili mkoani Mtwara kutoka nchini Uturuki. Kuingia kwa meli hiyo inafanya jumla ya viuatilifu vilivyoingia nchini kufikia tani 10,170 katika ya 25,000 zilizoagizwa na Serikali. Shehena hiyo itagawiwa bure kwa wakulima baada ya wiki tatu, ikiwa lengo la kuimarisha kilimo…