#kiswahili

Rais Mwinyi aeleza njia EAC kufurahia Kiswahili duniani

Rais Mwinyi aeleza njia EAC kufurahia Kiswahili duniani

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema namna bora ya kuonyesha kuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imefurahi kuwa na siku ya lugha ya Kiswahili duniani ni kuongeza jitihada za kuimarisha lugha hiyo kwa kubuni mbinu bora za kukuza na kuiendeleza. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Alhamis Julai 7, 2022 katika maadhimisho ya kwanza…

Serikali: Ndoto ya Kiswahili kutumika Afrika yatimia

Serikali: Ndoto ya Kiswahili kutumika Afrika yatimia

Dar es Salaam. Dunia inapoelekea Siku ya Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili leo Julai 7, Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Utamaduni imeandaa mdahalo wenye mada kuhusu mchango wa Kiswahili na Ukombozi wa Bara la Afrika leo Alhamisi. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema ndoto za Kiswahili kutumika katika Afrika zimekamilika baada ya…

Kiswahili Sasa Kutumiwa Na AU katika Uendeshaji wa Vikao Vyao

Kiswahili Sasa Kutumiwa Na AU katika Uendeshaji wa Vikao Vyao

UMOJA wa Afrika (AU) sasa utaanza kutumia Kiswahili kama moja ya lugha kuu kuendeshea kazi zake, kufuatia hoja iliyopitishwa kwenye kongamano kuu la shirika hilo Jumapili jijini Addis Ababa, Ethiopia. Ombi hilo liliwasilishwa na Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango (pichani), akishikilia kuwa Kiswahili kinapaswa kukwezwa hadhi na kuanza kutumika kutekelezea shughuli za kikazi…