#kongamano

Nape mgeni rasmi kongamano maendeleo ya tasnia ya habari

Nape mgeni rasmi kongamano maendeleo ya tasnia ya habari

Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la kujadili maendeleo ya tasnia ya habari nchini. Kongamano hilo limeandaliwa na Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, likishirikiana na wadau mbalimbali litakafanyika Jumatano Juni…