#korea

Korea Kaskazini kuongeza kiwango cha silaha za nyuklia kukabili tishio la US

Korea Kaskazini kuongeza kiwango cha silaha za nyuklia kukabili tishio la US

Kiongozi wa Korea Kaskazini ametoa amri ya kuzalishwa makombora mapya ya balestiki ya kuvuka mabara, sambamba na kuongezwa kiwango cha silaha za nyuklia za ‘kimkakati’ kwa ajili ya kukabiliana na tishio la Marekani. Kim Jong-un amenukuliwa akisema hayo leo Jumapili na shirika rasmi la habari la nchi hiyo KCNA baada ya kumalizika mkutano muhimu chama tawala…

Kiongozi wa Korea Kaskazini: Tutatumia silaha za atomiki kujibu vitisho vya atomiki

Kiongozi wa Korea Kaskazini: Tutatumia silaha za atomiki kujibu vitisho vya atomiki

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un ameionya Marekani kuwa nchi yake itajibu vitisho vya atomiki kwa silaha za atomiki na makabiliano kwa makabiliano dhidi yake. Kim ametoa indhari hiyo wakati akisimamia jaribio la ufyatuaji wa kombora linalovuka bara moja kuelekea jengine aina ya Hwasong-17 na kusisitiza kuwa kitisho chochote cha kijeshi dhidi ya Pyongyang kitakabiliwa na…