#kurdistan

IRGC yashambulia tena ngome za magaidi Kurdistan ya Iraq

IRGC yashambulia tena ngome za magaidi Kurdistan ya Iraq

Kwa mara nyingine, Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limeshambulia na kuharibu ngome za magaidi katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan, kaskazini mwa Iraq. Shirika la habari la Fars News limeripoti habari hiyo na kueleza kuwa, Kikosi cha Nchi Kavu cha jeshi la IRGC kimeanzisha wimbi jipya la operesheni hiyo dhidi…